Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

Nakumbuka bwashee yule mama tajiri alikuwa anaishi Kinondoni karibu na bwawani kama unaenda mahakamani!

Ila kuna zile Mkaramo Dar - Tanga bado ziko bwashee.

Siri Yako ilikuwa Dar - Dodoma!
Mkaramo yupo kwenye dldl za tegeta -gerezani
Pia kulikuwa na bin kleb,huyu ndo amebaki na kuongeza sana utajiri wake kwa kuhamia kwenye trucks
 
Siredi zako za kipindi kile cha jiwe zikimuhusiaha mzee mgaya nilijua kijana mwenzangu tu tena ambae analala sebureni kwa shemeji [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahaaaa..... Kitambo sana hapa town bwashee.

Usione namshambulia Freeman zile ni siasa tu.

Nje ya siasa ni jamaa yangu sana tu alilifanya jiji lichangamke bhana.

Nasikia vijana wa siku ubitozi wenu ni kurandaranda Mlimani City!
 
Mkaramo yupo kwenye dldl za tegeta -gerezani
Pia kulikuwa na bin kleb,huyu ndo amebaki na kuongeza sana utajiri wake kwa kuhamia kwenye trucks
Yes, Bin Kleb alikuwa Kariakoo

Chuma zake zilikuwa Dar - Songea pamoja na KAMATA!
 
Yes, Bin Kleb alikuwa Kariakoo

Chuma zake zilikuwa Dar - Songea pamoja na KAMATA!
Mkuu utakuwa hujamaliza ikiwa wale warabu wa Tanga pale magomeni kagera hujawaingiza,akina yaraab salama na yarrab toba .....nahisi bin kleb na mkaramo walikuwa eneo moja pale kkoo ya jangwani,baadae ndo akajiunga Shambalai maeneo yale
 
Hahahaaaa..... Kitambo sana hapa town bwashee.

Usione namshambulia Freeman zile ni siasa tu.

Nje ya siasa ni jamaa yangu sana tu alilifanya jiji lichangamke bhana.

Nasikia vijana wa siku ubitozi wenu ni kurandaranda Mlimani City!

Wanaenda kunywa juice fresh, wakiwa na warembo pembeni, hiyo mbowe hotel unaijua wewe, hiyo kinondoni biafra waliyokaa vijana wakipanga namna ya kuzamia unaijua wewe, hiyo kitunda iliyokua mashamba ya wakurya unaijua wewe, hizo leyland zenye carrier ya kubebea mizigo unaijua wewe, stand ya mnazi mmoja, kisutu, mwembechai wao wala hawana habari nayo, hiyo sikinde, msondo, vijana jazz, unawajua wewe sio vijana wa leo, kiwanja cha DDC unajua wewe sio wao, kuletewa zawadi ya dagaa wa kigoma unajua wewe, hiyo super matimila wala huyo chidumule wa neema unamjua wewe wala wengine hawahusiki
 
we kweli kitambo
Mv 118 zilikuwa zinakimbia sana Sadiq line wa dar moro alikuwa nazo, Mwendowa saa , matema beach etc .
hazikuhudumu miaka mingi zote zikawa hoi zimechoka , zilizobaki sasa ni staff bus kwa baadhi ya taasisi za serikali

Shukrani dar-dom alikua nayo pia ikiitwa Ashara dodoma saa5 mapema
 
Hahahaaaa..... Kitambo sana hapa town bwashee.

Usione namshambulia Freeman zile ni siasa tu.

Nje ya siasa ni jamaa yangu sana tu alilifanya jiji lichangamke bhana.

Nasikia vijana wa siku ubitozi wenu ni kurandaranda Mlimani City!
Vijana siku hizi wenyewe wanakuambia tuna mishe mlimani City etc
Enzi zetu mishe azam mjini na salamander..
Hapo lazima kuna connection utapata
Yoyote

Ova
 
Kwani ukiwa dereva unaendesha gari kwa kuangalia taa za break za aliyeko mbele yako? Hapa sio kosa la Giriki bali la aliyekuwa anaendesha Shabiby
Hivi ile ajali ilitokea mwaka gani,maana kuna makaburi ya pamoja pale kwenye mlima
 
Vijana siku hizi wenyewe wanakuambia tuna mishe mlimani City etc
Enzi zetu mishe azam mjini na salamander..
Hapo lazima kuna connection utapata
Yoyote

Ova
Salamander kulikuwa na yule muuza magazeti vijana wengi walikuwa wanakutana pale kupata habari za kikapu na na magazeti ya the Source na mengine toka mbele
 
Nakumbuka bwashee yule mama tajiri alikuwa anaishi Kinondoni karibu na bwawani kama unaenda mahakamani!

Ila kuna zile Mkaramo Dar - Tanga bado ziko bwashee.

Siri Yako ilikuwa Dar - Dodoma!
We jamaa hapana kwa kweli[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]upewe tu uzi wote
 
Kulikuwa na Hekima
Hii Hekima siisahau
Iliwahi kupigwa ligi moja matata sana kutoka moro mpaka kibaha
Mimi nilikua ndani ya Mohamed Trans ya jioni inayotoja Dodona enzi hizo bado mpya siti zina nailoni bado
Mbele ilikua Sunry halafu Hekima kisha Mohamed Trans
Ilipogwa ligi sio ya nchi hii

Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
 
Hiyo mitaa nilikuwa napitapita sana kulikuwa na jamaa yangu pale kwa mzee Komakoma, Frank halafu alikuwepo Dougras Mpoto na John Vulata.

Hapo national housing karibu na buibui kulikuwa na bibi mmoja mkimbizi alikuwa na wajukuu zake akina Everyn Mpangala.

Fuh bwashee kitambo sana.

Kule mbele ndio unawakuta mabaharia akina Masoud, kule kwa akina Nassoro Mamba ukirudi kwa akina Sarota na yule Geza aliyechukua meli ya mafuta.

Umenikumbusha mbali sana bwashee!

we jamaa mbona kama unataja watu wa home kinondoni biafra , mitaa ya itaga hadi kanisani... kwa kina ngozi, na tizo tolu... maana home ilikuwa mitaa ya kina patrick mwangata...
 
Back
Top Bottom