Yuko wapi yule "Mwanaharakati Huru", Cyprian Musiba?

Adhibitiwe asitorokee msumbiji
 
😂 😂 😂 😂
Ila haya maisha aisee
 
Dahhhh.....
Amakweli siku zinaenda kasi sana, kilakitu kime punduka kama style ya dunia panuka...🤓😂
 
Inawezekana corona ishapita pita naye
 
Dahhhh.....
Amakweli siku zinaenda kasi sana, kilakitu kime punduka kama style ya dunia panuka...[emoji851][emoji23]
Hiyo inaitwa gwaride style yaani wa mbele anakuwa wa nyuma na wa nyuma anakuwa wa mbele
 
Yupo anamtetea sabaya eti kaonewa,
Hali itakuwa mbaya sana kwake njaa imemkaba kama yule shehe wa bashite plus wale viongozi wa dini tusiowasikia siku hizi wakishindana kuandaa makongamano ya kumtukuza jiwe Ili walambe bahasha za kaki
 
Tanzania hakuna wanaharakati
 
Cyprian Musiba yupo na anaendesha akaunti huko FB inayoitwa Veronica France. Post zake ni kuponda kila hatua ambayo Rais SSH anafanya, kuwachafua JK, Nape, Januari na Ridhiwani na kupost picha za kumuenzi Mwendazake
 
Inabidi wapigilie msumari wa mwisho wa moto kwa kuvifungia vijarida vyake na hapo atakuwa yupo msambweni kimaisha.
 
Yupo kabadilika kidogo kwasasa anajiita Veronica france
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…