Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Adhibitiwe asitorokee msumbijiKesi zake za madai alizofunguliwa Zanzibar na Dar nimepata taarifa mawakili wana kataa kumuwakilisha.
Imefikia hatua ile ya Vuga Zanzibar dhidi ya Fatma Karume itasikilizwa upande mmoja sasa.
Hali yake ni mbaya, hakutambua kuwa kuna wakati sponsor hufa! Amebaki yatima kama mbwa koko