Yuko wapi yule "Mwanaharakati Huru", Cyprian Musiba?

Yuko wapi yule "Mwanaharakati Huru", Cyprian Musiba?

Huyu hapo, majuzi tu baada ya kigogo kuzusha kwamba msiba amekamatwa.hii clip alikuwa anajibu kigogo
View attachment 1777248
 
Attachments

  • January_Makamba,Nape_Nauye,Ridhiwani,Sarungi,Karume_mnaulizwa_hapa_na_kaka_Veronica_France_kuw...mp4
    297.6 KB
Habari Wana jamvi.

Ni muda sasa umepita, sijamsikia jamaa huyu anayejiita mwanaharakati, ndugu Cyprian Musiba. Mara ya mwisho nilimsikia kama sikosei miezi minne iliyopita.

Yawezekana, wasiojulikana wametokomea naye au harakati zake zilikuwa za mtu mmoja na sio masuala yanayogusa jamii.

Yuko wapi mbona, kimya kimezidi?
Alianza kupayuka kama kawaida yake kwamba kayafa kauawa...akachukuliwa sehemu salama akatakiwa kutoa ushahidi usioacha shaka! Akashindwa ..! Na huo ukawa mwanzo wa mwisho wake kutoa tuhuma bila ithibati
 
Nasikia ame declare kuwa chawa wa mama ssh.
Ila anagundu, wenzie wote watetezi wa mwenda zake walipewa vyeo yeye mwenda zake akamsahau, ina maana mwenda zake alikuwa haoni mchango wake wa utetezi.
Eti alikuwa ana mtetea raisi. Hivi raisi anatetewa ?
 
Pia anatumia Jina la Dada Tanzania yeye sikuzote haoni jema linalofanywa rais wetu kila kitu kwake ni kibaya tu, in short amekata moto kabisa,namkanya hapa hapa ""AACHE KUPIMA KINA CHA MAJI HII NI AWAMU YA SITA""
Ni kweli
 
SERIKALI YA VICHAA HAIPO KWA SASA WANAANZA KUPUNGUA TARATIBU

20210422_183858.jpg
 
Pia anatumia Jina la Dada Tanzania yeye sikuzote haoni jema linalofanywa rais wetu kila kitu kwake ni kibaya tu, in short amekata moto kabisa,namkanya hapa hapa ""AACHE KUPIMA KINA CHA MAJI HII NI AWAMU YA SITA""
Hivi inaweza kuwa ni kweli ndo lile jamaa?
 
Habari Wana jamvi.

Ni muda sasa umepita, sijamsikia jamaa huyu anayejiita mwanaharakati, ndugu Cyprian Musiba. Mara ya mwisho nilimsikia kama sikosei miezi minne iliyopita.

Yawezekana, wasiojulikana wametokomea naye au harakati zake zilikuwa za mtu mmoja na sio masuala yanayogusa jamii.

Yuko wapi mbona, kimya kimezidi?
Yupo Sana tu mkuu, Facebook anajiita Veronica France, na hapa jamiiforums anajiita Nigastratatract sijui
 
Amepikelewa uanaharakati na kimbunga Jobo cha kongwa
 
Huyu aliyekuwa anajiita Mwanaharakati huru aliyekuwa "anatetea" Mamlaka ya Urais wa Hayati John Pombe Magufuli yuko wapi? Ukimya wake katika kipindi hiki ambacho Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu anashutumiwa kwa mambo kadhaa unatia mashaka kama kweli alikuwa anatetea "Uraisi" zaidi ya tumbo lake.
 
Kesi zake za madai alizofunguliwa Zanzibar na Dar nimepata taarifa mawakili wana kataa kumuwakilisha.
Imefikia hatua ile ya Vuga Zanzibar dhidi ya Fatma Karume itasikilizwa upande mmoja sasa.
Hali yake ni mbaya, hakutambua kuwa kuna wakati sponsor hufa! Amebaki yatima kama mbwa koko
 
Back
Top Bottom