Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Ng'ombe Aliyekatika Mkia Machungani Akirudi Zizini Wenzake Watajua Hana Mkia 😆😅😄😃😂😁😀Ng'ombe akifa ndio Mwisho wa Mkia kucheza cheza hata kama ulikuwa active kiasi gani kuua Nzi wanaomghasi Bosi Ng'ombe