Yuko wapi yule "Mwanaharakati Huru", Cyprian Musiba?

Yuko wapi yule "Mwanaharakati Huru", Cyprian Musiba?

Tangu mwezi april 2021 huyu mwanaharakati hajawahi kusikika akiongea chochote kuhusu nchi wala kuonekakana , nini kimempata mtu huyu! Je yupo au alienda kutafta maisha nje ya tanzania. Na kama yupo kwanini asionekane kwa watu hata marafiki zake wa karibu? Wengi wanasema hata kwao mkoa wa mara hayupo wala daresalaam. Au watu wasiojulikana wapo nae tangu april 2021. Tukumbuke kwamba hii nchi kuna amani lakini amani ya kiroho kifikra na kiuchumi haipo kwa asilimia 90 ya watanzania wote. Kwani ni vigumu sana kwa mtanzania kuikosoa serikali au kwenda kinyume na serikali ukawa na amani ya maisha yako.wengi tunajuwa huyo mwanaharakati alikuwa kipenzi sana na aliyekuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania DR.JOHN POMBE MAGUFULI tangu atutoke kijana huyu aliyekuwa akitaja baadhi ya vigogo wa ccm ambao kwa sasa wameshika hatamu ya uongozi hasikiki tena! Au kuna nn nyuma ya pazia tumempoteza kidunia au tumempoteza kiuharakati maswali ni mengi mda ni mchache

Nawatakia sabato njema.
 
Huyu mzee wa mitusi aliyekuwa akipewa hela na bwana yule. Halafu akawa anacheza ikulu Kama kifaranga cha kuku. Huku kazi yake kubwa ikiwa ni kuandaa mitusi ya kuwaporomoshea wale wote wanaompinga shetani aliyekuwa ikulu.

Yawezekana kafariki kwa msongo wa mawazo.
 
Kati ya watu walio changia kwa kiasi kikubwa kupambana na mafisadi ni ndugu Cyprian Musiba, sikuhizi amekuwa kimya sana, nimejaribu kumpiga simu kwa bahati mbaya simpati hewani.

Aliye na taarifa sahihi naomba aning'ate sikio ili nimpatie taarifa za ubadhilifu katika ofisi fulani hivi nyeti aruke nazo.

Ahsanteni.
 
Usiwaamni CCM, kama wamempa Kingai u-DCI usishangae kusikia Siku Moja kateuliwa kuwa mbunge viti maalum
 
Usiwaamni CCM, kama wamempa Kingai u-DCI usishangae kusikia Siku Moja kateuliwa kuwa mbunge viti maalum
Kingai alifanya kazi aliyotumwa sio Kwa matakwa yake hata ww ungekua katika nafasi yake ungefanya km yy alivyofanya
 
Habari Wana jamvi.

Ni muda sasa umepita, sijamsikia jamaa huyu anayejiita mwanaharakati, ndugu Cyprian Musiba. Mara ya mwisho nilimsikia kama sikosei miezi minne iliyopita.

Yawezekana, wasiojulikana wametokomea naye au harakati zake zilikuwa za mtu mmoja na sio masuala yanayogusa jamii.

Yuko wapi mbona, kimya kimezidi?
huyu kuna clip ilikuwa inatembea yuko sehem anajiliza ovyo nahisi wajuba wameshaanza kuminya kende wakitumia plaizi
 
bila shaka huyu jamaa hadi sasa hana pum.bu au kabaki na moja
 
Kati ya watu walio changia kwa kiasi kikubwa kupambana na mafisadi ni ndugu Cyprian Musiba, sikuhizi amekuwa kimya sana, nimejaribu kumpiga simu kwa bahati mbaya simpati hewani.

Aliye na taarifa sahihi naomba aning'ate sikio ili nimpatie taarifa za ubadhilifu katika ofisi fulani hivi nyeti aruke nazo.

Ahsanteni.
Watamla ndogo akionekana hadharani
 
Back
Top Bottom