Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
NILIMUONA ANALILIA NYUMBA YAKE SIJUI AMEPATWA NA MASWAHIBA GANI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyesimama kama Waziri yule aliyepewa jina la bondia.
Kuna watu Wana sura ngumu aisee.
Ntafurahi sana.Usiwaamni CCM, kama wamempa Kingai u-DCI usishangae kusikia Siku Moja kateuliwa kuwa mbunge viti maalum
Kingai alifanya kazi aliyotumwa sio Kwa matakwa yake hata ww ungekua katika nafasi yake ungefanya km yy alivyofanyaUsiwaamni CCM, kama wamempa Kingai u-DCI usishangae kusikia Siku Moja kateuliwa kuwa mbunge viti maalum
huyu kuna clip ilikuwa inatembea yuko sehem anajiliza ovyo nahisi wajuba wameshaanza kuminya kende wakitumia plaiziHabari Wana jamvi.
Ni muda sasa umepita, sijamsikia jamaa huyu anayejiita mwanaharakati, ndugu Cyprian Musiba. Mara ya mwisho nilimsikia kama sikosei miezi minne iliyopita.
Yawezekana, wasiojulikana wametokomea naye au harakati zake zilikuwa za mtu mmoja na sio masuala yanayogusa jamii.
Yuko wapi mbona, kimya kimezidi?
Sijakataa NDIO maana nikasema hata Musiba atakua rewarded, si wote walitumwa?Kingai alifanya kazi aliyotumwa sio Kwa matakwa yake hata ww ungekua katika nafasi yake ungefanya km yy alivyofanya
Watamla ndogo akionekana hadharaniKati ya watu walio changia kwa kiasi kikubwa kupambana na mafisadi ni ndugu Cyprian Musiba, sikuhizi amekuwa kimya sana, nimejaribu kumpiga simu kwa bahati mbaya simpati hewani.
Aliye na taarifa sahihi naomba aning'ate sikio ili nimpatie taarifa za ubadhilifu katika ofisi fulani hivi nyeti aruke nazo.
Ahsanteni.