tusipotoshane
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 730
- 694
[emoji16][emoji23][emoji3][emoji51]
nini hiki mkuu[emoji16][emoji3]
Mama janeth aliiface camera,yule atakuwa jescaMama janeti yule.
Atakuwa MchocheziJana kuna clip ilikuwa inatembea ikionesha jinsi Rais Magufuli akiwa anashangilia ushindi wa Taifa Stars akiwa Ikulu.
Akiwa anashangilia alifika katika dining room, ambapo kuna watu wawili walikuwa wanakula, JPM akawaomba washangilie, mmoja alikataa. Hivi yule ni nani? Maana kama ni mama Janeth humu jukwaani huwa mnasema hana sauti kabisa. Je wakuu yule ni nani?
😃😃alikuwa akipakua msosi,jesca aliongea na kurusha mkono huku akijiziba😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
Acha tabia za kishoga wewe, yule ni mtu mwenye miaka Zaidi ya 55 usifikiri ni rika lako au status yako ambae ndio umeona allstar juzi ulivyoingia darKaka ile kofia mimi haijanishangaza sana, ila ULE MRABA ALIOVAA, ha ha, halafu mwenyewe anajiona ametokelezeeeeea, kumbe ni kituko.
Haki Mungu anamuona aliyemchagulia hizo raba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee yupo kwenye jumba jeupe kavaa kofia, na zile raba aliye mnunulia [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka ile kofia mimi haijanishangaza sana, ila ULE MRABA ALIOVAA, ha ha, halafu mwenyewe anajiona ametokelezeeeeea, kumbe ni kituko.
Pale kulkua na mume,mke na binti yao pamoja na muajiriwa wa serikali.Jana kuna clip ilikuwa inatembea ikionesha jinsi Rais Magufuli akiwa anashangilia ushindi wa Taifa Stars akiwa Ikulu.
Akiwa anashangilia alifika katika dining room, ambapo kuna watu wawili walikuwa wanakula, JPM akawaomba washangilie, mmoja alikataa. Hivi yule ni nani? Maana kama ni mama Janeth humu jukwaani huwa mnasema hana sauti kabisa. Je wakuu yule ni nani?
nani wa kucheza na wajukuu? husomi hata kwa kuangalia sura za watuWatu bwana yani wanazani rais akiwa nyumbani na familia basi anakua analeta urais hadi home ha ha ha ha haiko hivyo wakuu sometime unaweza kukuta kapiga pensi anacheza na wajukuu kama watu wengine
Zile raba itakua alizichukua kwenye ile site ya TBA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee yupo kwenye jumba jeupe kavaa kofia, na zile raba aliye mnunulia [emoji23][emoji23]