Yule aliyemjibu rais Magufuli kwenye ile video ya jana ni nani?

Yule aliyemjibu rais Magufuli kwenye ile video ya jana ni nani?

Nimeposti kimakosa kiongozi.Nilimjibu mdau moja kwenye uzi alioutoa Bujibuji kuhusu Timu za Yanga na Simba kuwekewa nakshi ili zifanye vizuri.Fuatilia Uzi huo bado upo.Lakini ujumbe si umeupata kiongozi.Tusonge mbele kutoa mawazo chanya ya kujenga nchi yetu.
[emoji16][emoji23][emoji3][emoji51]
nini hiki mkuu[emoji16][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana kuna clip ilikuwa inatembea ikionesha jinsi Rais Magufuli akiwa anashangilia ushindi wa Taifa Stars akiwa Ikulu.

Akiwa anashangilia alifika katika dining room, ambapo kuna watu wawili walikuwa wanakula, JPM akawaomba washangilie, mmoja alikataa. Hivi yule ni nani? Maana kama ni mama Janeth humu jukwaani huwa mnasema hana sauti kabisa. Je wakuu yule ni nani?
Atakuwa Mchochezi
 
Kaka ile kofia mimi haijanishangaza sana, ila ULE MRABA ALIOVAA, ha ha, halafu mwenyewe anajiona ametokelezeeeeea, kumbe ni kituko.
Acha tabia za kishoga wewe, yule ni mtu mwenye miaka Zaidi ya 55 usifikiri ni rika lako au status yako ambae ndio umeona allstar juzi ulivyoingia dar

Unajua mavazi ya Steve Jobs wewe, hata huyo Steve Jobs unamjua ni nani? Hizo ni akili za kimasikini kujali vitu vidogo.
 
Nimependa na kufurahia muonekano wa Mhe. Rais kwenye ile picha. Hakika ndio Watanzania halisi tunavyoishi. Safi sana
 
Jana kuna clip ilikuwa inatembea ikionesha jinsi Rais Magufuli akiwa anashangilia ushindi wa Taifa Stars akiwa Ikulu.

Akiwa anashangilia alifika katika dining room, ambapo kuna watu wawili walikuwa wanakula, JPM akawaomba washangilie, mmoja alikataa. Hivi yule ni nani? Maana kama ni mama Janeth humu jukwaani huwa mnasema hana sauti kabisa. Je wakuu yule ni nani?
Pale kulkua na mume,mke na binti yao pamoja na muajiriwa wa serikali.
Hata ungeskia we mbuzi njoo ni matani ya familia.
By the way kulkua na ********** alirekodi using iphone X.
Thank you.

Sent using Brain
 
Watu bwana yani wanazani rais akiwa nyumbani na familia basi anakua analeta urais hadi home ha ha ha ha haiko hivyo wakuu sometime unaweza kukuta kapiga pensi anacheza na wajukuu kama watu wengine
nani wa kucheza na wajukuu? husomi hata kwa kuangalia sura za watu
 
Back
Top Bottom