Yule aliyesema watu wahame mjini warudi Shamba hakudhamiria, hawa ndio wamedhamiria. Akufukuzaye...

Kwema Wakuu!

Yule wa ñyuma alisema atakayebaki Mjini mpaka Mwezi July ni mwanaume akiwa amelenga watu warudi vijijini hasa wasio na shughuli Rasmi, nakiri Leo hakuwa amedhamiria. Aliongea tuu. Pengine alisema lakini baadaye akaingiwa na Imani akahairisha.
Kaka mjini hatufugi fisi, Magufuli alisema watu wote watahama mjini na watakaobaki basi wao ni wanaume, sasa ukiona umebaki jipige kifua wewe ni mwanaume na ukiona hapakufai nenda kafuge bundi.

Kuna mapori mengi tu unaenda kulima asali, fuga nyuki mpaka wakuzoee wakikuona wanakushangilia.

Mie nilikuwa najiuliza hii influx ya watu kukimbilia mjini inatokana na nini na kwa nini matajiri wakarudi mashambani na wameshanunua maeneo makubwa kule Sasa sijui wale malaika wa Magufuli mtaishi wapi maana mjini pa moto na vijijini mlipakimbia mkiaminishwa matajiri wanakimbia mjini basi ndio wale walioitwa wanyonge wakawa wanaimba ule wimbo kwamba Sasa ni wakati wao (kipindi kile).

Hivi sasa kilimo kimeshikwa na wale walioitwa mashetani kipindi kile sasa masikini wamehama vijijini na wameuza maeneo yao, wale mashetani sasa wameshika kilimo na mjini wameshika masoko ni mwendo wa kula za uso tu.

Kiukweli wakati mwingine usifurahie mateso ya mwanadamu mwenzio maana nawe hujui siku yako inakuja lini.
 
Matokeo yake ye ndo akawa wa Kwanza kuhama mjini.
Wanaume tupo Sana hata nauli iwe buku,bia elf 10 hatuhami mjini ndo kwanza tunaongeza bidii.
Mbuzi mkata kamba anaanzaje kuhama mjini, huu ndio wakati wa kumaliza nyasi.
 
Kaka mjini hatufugi fisi, Magufuli alisema watu wote watahama mjini na watakaobaki basi wao ni wanaume, sasa ukiona umebaki jipige kifua wewe ni mwanaume na ukiona hapakufai nenda kafuge bundi.

Kuna mapori mengi tu unaenda kulima asali, fuga nyuki mpaka wakuzoee wakikuona wanakushangilia.

Mie nilikuwa najiuliza hii influx ya watu kukimbilia mjini inatokana na nini na kwa nini matajiri wakarudi mashambani na wameshanunua maeneo makubwa kule Sasa sijui wale malaika wa Magufuli mtaishi wapi maana mjini pa moto na vijijini mlipakimbia mkiaminishwa matajiri wanakimbia mjini basi ndio wale walioitwa wanyonge wakawa wanaimba ule wimbo kwamba Sasa ni wakati wao (kipindi kile).

Hivi sasa kilimo kimeshikwa na wale walioitwa mashetani kipindi kile sasa masikini wamehama vijijini na wameuza maeneo yao, wale mashetani sasa wameshika kilimo na mjini wameshika masoko ni mwendo wa kula za uso tu.

Kiukweli wakati mwingine usifurahie mateso ya mwanadamu mwenzio maana nawe hujui siku yako inakuja lini.

😀😀😀😀

Nimecheka Sana.

Tumezungukwa
 
Kwema Wakuu!

Yule wa ñyuma alisema atakayebaki Mjini mpaka Mwezi July ni mwanaume akiwa amelenga watu warudi vijijini hasa wasio na shughuli Rasmi, nakiri Leo hakuwa amedhamiria. Aliongea tuu. Pengine alisema lakini baadaye akaingiwa na Imani akahairisha.

Anyway,
Hu
Wachomeee vyanzo vyao vya mapato.... shetani Wakubwa hawa
 
Teh teh teh mjini tumebaki vidume haswa... hata kilo ya Nyama ikifika laki hatutakimbia.
Usihangaike na huyo mpumbavu ameachwa na mimba ya Mungu wao wa Chato. Kama mjini hapawezi akafuge bundi huko kwao.
 
Kesharudi kijijini mkuu hapa nampiga nyundo za kichwa tu....

Tangu alivyosindikiza msiba chato hajafanikiwa kurudi mjini. Godoro lake alifanywa kutumiwa kwa bus!!
 
Hehehe naye alienda kumzika mungu wao?
 
Kwema Wakuu!

Yule wa ñyuma alisema atakayebaki Mjini mpaka Mwezi July ni mwanaume akiwa amelenga watu warudi vijijini hasa wasio na shughuli Rasmi, nakiri Leo hakuwa amedhamiria. Aliongea tuu. Pengine alisema lakini baadaye akaingiwa na Imani akahairisha.
Teketeza masoko
 
Ataondoka yeye atatuacha

kulikuwa na hali ya ukapa yuko wapi
kila nyumba lazima ipande muarubaini nje ? yu wapi
hata mle nyasi itanunuliwa tuu
mpaka maji ya viroba yakapewa jina lake
nyumba kwa nyumba wanaume kupima tezi dume
wataishi kama mashetani

tumesurvive mapito mengi na still tunadunda na furaha tele
RAHA jipe mwenyewe ukisubilia matamko ya wanasiasa utasubiri sana

hvyo hata huyo atapita tu
 
Back
Top Bottom