Yule aliyesema watu wahame mjini warudi Shamba hakudhamiria, hawa ndio wamedhamiria. Akufukuzaye...

Tatizo ni kwamba uzi wako ni matunda ya siasa za kibongo. Mlishazoeshwa vitu vya bure bure sasa vinapokosekana ni lazima muanze kulialia.

Ungejua sababu za bidhaa kupanda bei usingehusianisha kufukuzwa mijini na kupanda bei bidhaa.

Maisha huenda yakiwa ghali kila kukicha, waulize jamaa zetu wanaoishi USA na UK watakupa majibu sahihi kwa kero unazoziona zikisumbua.
 


Mimi nipo California Mkuu.

Sasa labda useme Sababu nyingine
 
Nikajua wewe ndio uko huko USA. Kumbe sio. Basi acha hizo porojo zako. Kwani kitanda hiko hukilalii wewe so kunguni wake wewe huwajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…