Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Ni swali tu nauliza maana kama sijaelewa hivi👀
Tumekuwa tukiona watu mbalimbali maarufu na hata kundi la watu wakipata madhila Rais Samia kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii hutoa pole, na kwengine huenda mbali hata kutoa mkono wa pole, na kwa wengine hufika kabisaaa, kama alovyoenda kumuona Lissu, kifo cha Papa, ajali kariakoo, vifo vya wasanii, nk, nk.
Hii ya Kitima vipi? Mbona kimyaaaa? Au jamaa anayeandikaga kwenye page za mheshimiwa yuko likizo ataandika akirudi?😅😅
Ila itakuwa Kitima hajafit kwa watu wanaojulikana na wenye uzito wa kupewa pole na Rais, hapa itakuwa ni waumini tu ndio wameshikwa na kushtushwa na kilichompata, Rais Samia atakuwa ni mkubwa sana kutoa pole kwa Padri Kitima.
Itakuwa ilitakiwa Waziri mwenye dhamana ndio atoe pole si ndio? Waziri wa Mambo ya Ndani mzee baba Bashungwaaaa au Msemaji wa Serekale Mkuu Sanaa Gerson Msigwa 🌚🌚 Ila hawa wote wapo jiiii, itakuwa nao wapo likizo au wamejisahau na wenyewe, huenda simu itakuwa zimeisha chaji, sherehe za Mei Mosi zilikuwa ndefu, wakiwa sober watakuja kutoa pole ya Rais👀
Ni swali tu, wajuvi njooni mniambie basi, kwanini hali imekuwa hivi? Au Rais saivi kaacha kutoa pole hadi uwe Rais mwenzake au kiongozi wa Dunia?😅😅