Yule anayetoa pole mtu akipata madhila kwenye kurasa za Rais Samia kaenda likizo kwenye tukio la Kitima?

Wanaomtaka Samia ni chawa tu wanaoishi kwenye Pichu.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Jamani eeeeh mzee baba Bashungwaaaa to ze B katoa pole huko🀣🀣🀣 hatimaye likizo zao zimeisha wametekeleza unafki waoπŸ™ƒ

Karibu siku nne ndio wamejiamsha utafikiri hawakuwa na taarifa! Sasa wasubiri spana za Watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…