Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamuacha mke mmoja unachukua pisi nyingine..hesabu inarudi kwenye tatu palepalendio zao, unaweza ona sharti linasema
Huruhusiwi kuwa na Wanawake zaidi ya watatu.
Haraka haraka unaona wanawake watatu tena wazuri niwapendao,wanantosha sanaaa.
Kimbembe kinakuja ukishawapata hao watatu uliojiridhisha ndio wazuri, Hawa wazee wanakuletea PISI WALIZOZIUMBA WAO WENYEWE SASA, unapitishiwa viumbe ambavyo ukifananisha na wake zako unaona ni kumdhihaki muumbaji.
Tena Pisi zenyewe unazoletewa zinajirahisisha kwako yani ni kugusa tu, Sasa Jichanganye Usahau Masharti yako.
Hilo sio swali, ni jibu. Uliza swali sasaavatar hizo ndio Cute Wife nini mzee [emoji2960][emoji2960]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mafundi wengine bado wapoNilitaka niende nikakukomeshe isimame kwangu tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema bibi kashatangulia bahati yako
Tafuta basi mwingine babe mwenye hilo shartiShida mganga is nolongaaaa😂😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mafundi wengine bado wapo
Utumwa hauepukikMhmhm jamani bora ufe masikini kuliko kuwa MTUMWA
Hilo sio swali, ni jibu. Uliza swali sasa
Unaijua ngende wewe au unaiskia tu,huko ukienda kichwa kichwa ukakalia kiti bila kukaribishwa unaweza kukuta suruali imeliwa na mchwa kwenye makalio.Chai ya moto ngoja nipashe tumbo
Waache tu waendelee kutufatiliaHuyu bwana ake nani? Anipandisha midadi [emoji7][emoji7][emoji7]
Na siku ukivuta cha chugga waekee full pic baby nimekupa ruksaaaaaaaaaaaaaa[emoji8]