Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

Ni siku 3 au 4 sasa nilipigiwa simu kuwa B. Njimwite wa Ngende mkoani Lindi, wilaya ya Liwale,Kijiji Cha mpigamiti ameshaaga Dunia.

Ni mganga pekee Afrika aliyekuwa anapokea buku 2 tu kisha yeye kukupa pesa ya mtaji.
Utajiri ndani ya mwezi mmoja tu, ukikosea masharti ufukara utakucharaza mpaka utajuta.
No kumwaga damu.

Utachaguliwa sharti moja, either
  • Ugonge mwanamke mmoja tu.
  • Usilale kwenye nyumba yenye umeme,
  • Usinunue gari ya kutembelea , jaza milori , tax n.k ila hakuna Kununua gari ya kutembelea.
  • Usivae viatu vya kufunika
  • Usivae suruali ndefu.
  • Hakuna kumsalimia mtu kwa mkono.
  • Usimwamkie mzazi au mtu yeyote.
  • Unye kichakani tu.
N.k, n.k

Hivi huyu bibi ndio yule ambaye makazi yake yapo karibu na barabara kuu ya Dar - Mtwara?
 
Ni siku 3 au 4 sasa nilipigiwa simu kuwa B. Njimwite wa Ngende mkoani Lindi, wilaya ya Liwale,Kijiji Cha mpigamiti ameshaaga Dunia.

Ni mganga pekee Afrika aliyekuwa anapokea buku 2 tu kisha yeye kukupa pesa ya mtaji.
Utajiri ndani ya mwezi mmoja tu, ukikosea masharti ufukara utakucharaza mpaka utajuta.
No kumwaga damu.

Utachaguliwa sharti moja, either
  • Ugonge mwanamke mmoja tu.
  • Usilale kwenye nyumba yenye umeme,
  • Usinunue gari ya kutembelea , jaza milori , tax n.k ila hakuna Kununua gari ya kutembelea.
  • Usivae viatu vya kufunika
  • Usivae suruali ndefu.
  • Hakuna kumsalimia mtu kwa mkono.
  • Usimwamkie mzazi au mtu yeyote.
  • Unye kichakani tu.
N.k, n.k
hapo kwenye kugonga mwanamke mmoja ningefanikiwa kabisaa
 
Na hili sharti ni laonekana rahisi..lakini ni moja ya sharti gumu..maana ukiwa na hela madem ndo wanaletwa ili ukosee..na ukikosea wanakwambia toa damu ili tukusamehe na ili utajiri uendeleee....hapo sasa ndio kazi inapoanzia
mke mmoja rahisi sana, elewa uzaifu wako na kukabiliana nao.. sio umeamua kuwa na mke mmoja, alafu unaenda kukaa mbugani ambapo pisi kali zinakatiza kila mda.. lazima uchane mkeka 😅😅
 
Back
Top Bottom