Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

Yote yanawezekana hayo. Sema yatashindikana sabb kashakufa. Kulikata gogo kichakani shing-ngap mazee
 
Huo ni utajiri wa kuzimu ambao ni mateso tu
 
Ndo amekwenda zake sasa, sharti uta renew wapi?
 
Dah! Hilo sharti la kutokuvaa viatu vya kufunika na kutomsalimia mtu kwa mkono, walau ndiyo yana unafuu. Zaidi ya hapo, yaliyobakia yote ni magumu kwangu.
 
Hayo masharti si ndio maisha yenyewe!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…