Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Naomba kujua kilichotokea baada ya Mheshimiwa Waziri wetu mpendwa wa Ardhi Jerry Silaa kusema kuna jaji anayeunga mkono wahuni kushinda kesi wanapoiba ardhi za watu.
Je, mpaka sasa Tume ya Maadili mmemwita huyu mtu?
Je, mpaka sasa bado yuko kazini na hamuoni madhara makubwa kama ataendelea na hiyo kazi?
Je, kuna uchunguzi wowote umefanyika kuhusu huyu mtu ikiwemo kuchunguza kesi zake zote zilizohusiana na malalamiko ya ardhi?
Leo, Nipashe kuna mama kaambiwa na mahakama avunje na ana hati zote halali.
Mjiangalie wahanga watarajiwa.
Itaendelea...