Yule Jaji aliyetajwa kusapoti wahuni wanaoiba ardhi za watu bado yuko kazini?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Naomba kujua kilichotokea baada ya Mheshimiwa Waziri wetu mpendwa wa Ardhi Jerry Silaa kusema kuna jaji anayeunga mkono wahuni kushinda kesi wanapoiba ardhi za watu.

Je, mpaka sasa Tume ya Maadili mmemwita huyu mtu?

Je, mpaka sasa bado yuko kazini na hamuoni madhara makubwa kama ataendelea na hiyo kazi?

Je, kuna uchunguzi wowote umefanyika kuhusu huyu mtu ikiwemo kuchunguza kesi zake zote zilizohusiana na malalamiko ya ardhi?

Leo, Nipashe kuna mama kaambiwa na mahakama avunje na ana hati zote halali.

Mjiangalie wahanga watarajiwa.

Itaendelea...
 
ikumbukwe unaesomaa hapa n mhanga mtarajiwaa kama hawa jamaa wakoo kazini tuangalie tunajipangaje na maumivu ya kuibiwa ardhi zetu....
 
Siku zote kwenye msafara wa Mamba na Kenge wapo,kazi inabaki kwetu ya kutofautisha Mamba ni yupi na Kenge ni yupi!!
 
MIMBA
NYINGINEE HIOOO UWII NGOJA NIENDE BUNJU WASIJEKUWA WAMESHAJENGA KWANGU HAWA WAHUNISM
 

Attachments

  • Screenshot_20240609_051308_WhatsApp-721x950.jpg
    146.7 KB · Views: 3
hazetilwleoohili
 
Ngojaa niende kunywa supu kwa mama sele haya magazeti yanawezaa kupa pressure ukajua ushapitiwa
 
Ngojaa niende kunywa supu kwa mama sele haya magazeti yanawezaa kupa pressure ukajua ushapitiwa
Naona mzee wangu Paul mushi
Sahvi wanambana dah πŸ˜„

Ova
 
Naona mzee wangu Paul mushi
Sahvi wanambana dah [emoji1]

Ova
Mamlaka ikikuamulia hutobowi hata kidogo, maana record zako zote wanazo! Ma taita wa Ngada walitamba sana,lakini baada ya serekali kuwamlia wengi wao wako nyuma ya Nondo kwa sasa! Sasa jaramba limehamia kwa matapeli wa Aridhi kina Mzee Mushi na Mmasi!!
 
Paul mushi hatari sana ukisikiaa utapeli,dhuluma uko kwenye damu ndiyo yeye sasa πŸ˜„

Ova
 
Mpwaa achatu yanamuda
Ile shoppers plaza mikocheni mushi unajuwa ndy aliwauzia
Wale wahindi,ilikuwa eneo lake
Lile
Yule eneo akishaliona lipolipo tu
Utaona mara kaleta mchanga kamwaga,mara kokoto πŸ˜„ mdg mdg


Ova
 
Waziri muhuni anajua anavojikoroga na analazimisha kutaja majaji Bungeni ili aonekane yupo sahihi anapokiuka msingi wa sheria. Tusubiri
 
Mpwaa achatu yanamuda
Enzo za nyerere alikuwaga smbdy
Batenga πŸ˜„ huyo alishamuwasha mpaka mzee mchonga,ikabidi mchonga amuite na kumuweka kikao,akamwambia hata mimi πŸ˜„

Ova
 
Waziri muhuni anajua anavojikoroga na analazimisha kutaja majaji Bungeni ili aonekane yupo sahihi anapokiuka msingi wa sheria. Tusubiri
Atakuwa na anguko baya sana huyu. Anapenda sifa. Toka mama amsifie kidogo naona pembe zimemuota mno.
huwezi kudumu kwa kugonganisha mihimili

Ww kama una hakika pia una ushahidi Jaji amekula rushwa kuna PCCB anza na hao kimya kimya

Alisifie tembo hutia maji..
 
Paul mushi hatari sana ukisikiaa utapeli,dhuluma uko kwenye damu ndiyo yeye sasa πŸ˜„

Ova
Mkuuu arushaaa alimojgaaaa shemejiyangu mmoja wewee alichokutana nacho Allah anajua

Aliuma wahuni matofali cement wawahi kujenga shem akatonywq nae akaleta matofali na cement ..... akaja na wahuni wa unga Ltd na yeye na mdogowake wana mashine nzuri na wazee wa pale kati hawana uniform mkuu palijengwa usiku na nchana jama aliposikia akaenda mahakaman shem yumo ujenzi unamalizikaa aliambiwa nikikuona...itakuwa sikuyako ya mwisho

Sijamsikia tena huu ukoo wa mushi zulumath sanaa
 
πŸ˜„ mzee Paul namjuwa vzr sana
Dhulumati sana,ukipiga naye issue yeyote wee tegemea maumivu,alafu akiongea sasa kwa unyenyekevu πŸ˜„
Mpe mgongo sasa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…