Yule mama aliyekuwa diwani jijini Arusha amelalamika walikuwa wanatishwa na kutukanwa matusi ya nguoni. Je, Mbowe dikteta?

Udikteta wa Mbowe unaendelea kuthibitishwa na yafuatayo kung'ng'ania Madaraka, kuua kufokea na kutisha wapinzani wake kulazimisha kanuni zilizo nje ya utaratibu wa Chama kuteua watu wa kabila lake kwa kuwapa nafasi za upendeleo kwa mfano Katibu mkuu Kuwa mkwilima wake Msemaji wa Chama kuwa mchaga mwenyekiti wa Chama kuwa mchaga mtunza hazina wa. chama kuwa mke wake Naibu katibu mkuu bara kuwa mchaga mwenyekiti Bawacha kuwa Mchaga mwenyekiti Bavicha mkaskazini

Uzushi tu!
 
Kwani shida iko wapi kama wanafanya kazi vizuri.
Upande wa pili hamuuoni mtunza pesa ni yeye msimamizi ni yeye hazina ni ndugu yake mkuu wa madini binamu kila sekta nyeti ni ndugu zake
 
Kesi za hayo madai yako zipo wapi? Kama hazipo then huu ni umbea... Bora wakuvalishe tu sketi...
Mheshiwa Paschal Mayala sote tunajua kuwa yeyote aliyeutaka umwenyekiti wa Mbowe alikutana na changamoto kwa mfano Chacha Wangwe walimuua kwa kumtegeshea na dereva wake akatoka hana hata kovu, Zito kabwe et al anajua masaibubaiyokutana nayo, Tundu Lisu alitaka kuhatarisha nafasi yake anajua alichokutana nacho, Sumayi Waziri mkuu mstaaafu ameongea maneno mazito "SUMU HAIONJWI KWA MDOMO"
 
Wahenga walisema "ajidhaniae kasimama aangakie asianguke".
Wewe unayetumia mazingura ya sasa ya Siasa nchini kuwatuhumu wenzie kwa Nia ya kutafuta zawadi ya U-DC geuka nyuma Na ukumbuke kauli za Sumaye 2000 kuwa mfanyabiashara asiyepeperusha bendera ya CCM atanyang'anywa leseni. Kauli hiyo aliitoa Moshi mjini. Leo hii anasaga meno.
Usitumie vibaya fursa ulio hayo kumdhihaki kiongozi WA wananchi kwani Mbowe sio kiongozi WA CDM pekee bali wa Watanzania wote kwa nafasi yake Kama Mbunge Na Kiongozi wa Upinzani Bungeni. Tumuombe Mungu atupe hekima ya kutambua kuwa madaraka waliopewa walioshika kwa sasa ni ya muda tu Na yatapita tena kwa kasi saana.
 
Udikteta wa Mbowe unaendelea kuthibitishwa na yafuatayo kung'ng'ania Madaraka, kuua kufokea na kutisha wapinzani wake kulazimisha kanuni zilizo nje ya utaratibu wa Chama kuteua watu wa kabila lake kwa kuwapa nafasi za upendeleo kwa mfano Katibu mkuu Kuwa mkwilima wake Msemaji wa Chama kuwa mchaga mwenyekiti wa Chama kuwa mchaga mtunza hazina wa. chama kuwa mke wake Naibu katibu mkuu bara kuwa mchaga mwenyekiti Bawacha kuwa Mchaga mwenyekiti Bavicha mkaskazini

Kama ajavunja kanuni wala sheria hakuna shida
 
Unaweza kuthibitisha hapo kwenye bold?. Kama huwezi kuthibitisha, ondoa hilo neno kuua, au
Mode, please do the needful.
P.

Hawezi kutoa maana lengo lake ni kufanya siasa za majitaka. Anasema huyo mama amelalamika lakini ndani ni hayo maelezo yake. Hizi siasa za kipuuzi ndio hata Sumaye na uzee wake juzi kaitisha press conference, analalamika baada ya kukosa madaraka na kutoa maelezo ya kuichafua cdm.
 
Mheshiwa Paschal Mayala sote tunajua kuwa yeyote aliyeutaka umwenyekiti wa Mbowe alikutana na changamoto kwa mfano Chacha Wangwe walimuua kwa kumtegeshea na dereva wake akatoka hana hata kovu, Zito kabwe et al anajua masaibubaiyokutana nayo, Tundu Lisu alitaka kuhatarisha nafasi yake anajua alichokutana nacho, Sumayi Waziri mkuu mstaaafu ameongea maneno mazito "SUMU HAIONJWI KWA MDOMO"
Hii nchi ina watu wajinga sana aisee na wewe ni mmoja wapo na sijui tu kiwango chako cha elimu umeishia darasa la ngapi. Hivi Mbowe ayafanye yote hayo leo angekuwa uraiani? ebu fikiri Binti Akwlina aliuawa na Polisi pasipo na shaka lakini aliyesota Rumande ni Mbowe na hadi leo hii ana kesi jea angekuwa amehusika kwa uharifu huo na jinsi CCM wanavyohaha kuhakikisha wanammaliza kiuchumi na kisiasa wangemuacha tu?
Jitahidi kutumia ubongo kufikiri na kujenga hoja kuliko kutumia viungo isivyohusika katika kujenga hoja nahisi ulitumia makalio badala ya ubongo.
 
Kuna umuhimu Jf kuruhusu faragha na mawasiliano ya kila member kujulikana wazi kabisa
 
Njaa ya utosi inapovuka mipaka na kuushika ubongo wako..
 
Sumayi alinuku

Kuweni wavumilivu mabingwa wa kuzushia wenzenu mabaya mpaka mkuu wa nchi mlimzushia mabaya nyie hamfai kabisa

Kwa hiyo hapa umekuja na uzushi ili kumtetea mkuu wa nchi? Kwa hiyo ili umtetee mkuu wa nchi unatakiwa uzushe ili uwe umemsafisha mkuu wa nchi na tuhuma dhidi yake?
 
Wewe ni bogus kweli, Huyo Mbowe ni nani hata asikamatwe kwa kesi ya mauaji??
Leta aliyempiga risasi Lissu tujuwe kweli wewe ni muelewa.
Nenda upewe book7 Lumumba
upumzike!!
CCM ya awamu hii ni wepesi mno, ukiweka hoja mezani badala ya kukujibu wao wanakimbilia mitutu na kununua madiwani.
 
Back
Top Bottom