Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Kauli za kuwa dikiteta is not an offense, hakuna kosa lolote la mtu kuwa dikiteta it's a nature ya mtu na udikiteta unatambulika kwa kauli na matendo, hayahitaji ushindi to prove anything kama mtu akiwa ni mlevi, ana wivu sana au ana ghubu ni kero tuu. Kumuita mtu muuaji is very serious allegations tena ni criminal offence, jf tusiutumie vibaya uhuru wetu.Wanaposema Rais Magufuli ni dikteta huwa wana ushahidi? Or should we tell the mods to do the needful whenever such word appears?
P