Yule mama aliyekuwa diwani jijini Arusha amelalamika walikuwa wanatishwa na kutukanwa matusi ya nguoni. Je, Mbowe dikteta?

Nyie nyumbu wa Ufipa ndio mabingwa wa propaganda za kishamba na kizushi
Interesting!
Mimi nilikuwa nakumbusha tu hizo tuhuma kubwa, unaweza kupata kesi ya madai.
Kutumia jina fake na kujificha nyuma ya keyboard sio kinga.

Fikiria ulie mtuhumu akaenda mahakamani akaomba mahakama ilwalazimishe JF watoe detail zako unadhani hauta patikana?
 
Kawaida yangu kabla sijaweka comment yoyote katika uzi ni lazima nipitie background ya mtoa uzi kupima ukweli.

Baada ya kuufata utaratibu wangu niliyojiwekea naomba niseme huu uzi ni wa kipuuzi tuu kama nyuzi zingine alizowahi kuziandika nyuma hasa inayohusu mambo ya siasa.

Punguza mahaba na chama twawala.
 
Nilishaandika kuhisu mambo waloyofanya wakati wa uchaguzi 2015 hapa..chadema na MBOWE kwa ujumla hawatakiwi hata kupita nje ya ikulu sembuse kuisshika dola
 
Kesi gani wewe??;; kwani Mbowe hana kesi mpaka Leo ya kusababisha kifo cha mrembo Aqwilina??
Mkuu mwenye akili nyingi, unaye ipenda CCM kuliko wote, unayeipenda na kuitetea serikali kuliko wote,
Unae ichukia CHADEMA kuliko wote embu tueleze hati ya mashitaka ya kesi inayo mkabili Mbowe kama umeisoma inaonesha ana kesi ya mauwaji?
Ni manslaughter au first degree murder?
 
Mimi ni CCM ila siungi mkono maneno ya uongo uzushi n.k.Dawa ya wapinzani ni kuleta maendeleo, ajira, kuongeza mzunguko wa hela kwa wananchi, kuheshimu watu na utawala wa sheria. Tukitimiza yote hayo kwa watanzania hasa ajira kwa waalimu na manesi basi wapinzani watakosa hoja. Ila tukiendelea hivi na ujanja ujanja wapinzani wetu watapata cha kuongea.
 
Unaweza kuthibitisha hapo kwenye bold?. Kama huwezi kuthibitisha, ondoa hilo neno kuua, au
Mode, please do the needful.
P.
Hakika. Hata kama tuna uhuru wa kuandika ama kusema chochote basi tusivuke mipaka. Uhuru bila mipaka ni fujo.
 
Udikteta wa Mbowe unaendelea kuthibitishwa na yafuatayo kung'ng'ania Madaraka, kuua kufokea na kutisha wapinzani wake kulazimisha kanuni zilizo nje ya utaratibu wa Chama kuteua watu wa kabila lake kwa kuwapa nafasi za upendeleo kwa mfano Katibu mkuu Kuwa mkwilima wake Msemaji wa Chama kuwa mchaga mwenyekiti wa Chama kuwa mchaga mtunza hazina wa. chama kuwa mke wake Naibu katibu mkuu bara kuwa mchaga mwenyekiti Bawacha kuwa Mchaga mwenyekiti Bavicha mkaskazini
Hata kuandika hujui! Poyoyo tu wewe na machadema yako, kutujazia jukwaa tu na manyuzi ya kijinga. Yaani Mods wanashangaza sana, huko MMU wanafuta comments za watu kwenye nyuzi nzuri zinazopendwa na watu halafu humu yanaachia mashudu kama haya.
 
Mheshiwa Paschal Mayala sote tunajua kuwa yeyote aliyeutaka umwenyekiti wa Mbowe alikutana na changamoto kwa mfano Chacha Wangwe walimuua kwa kumtegeshea na dereva wake akatoka hana hata kovu, Zito kabwe et al anajua masaibubaiyokutana nayo, Tundu Lisu alitaka kuhatarisha nafasi yake anajua alichokutana nacho, Sumayi Waziri mkuu mstaaafu ameongea maneno mazito "SUMU HAIONJWI KWA MDOMO"
Muda mwingine mjitahidi kuwa na afya njema ya akili.kama hayo yote una ushahidi nayo si ungepeleka ushahidi huo polisi?
 
Mh ccm mnatabu sana
Udikteta wa Mbowe unaendelea kuthibitishwa na yafuatayo kung'ng'ania Madaraka, kuua kufokea na kutisha wapinzani wake kulazimisha kanuni zilizo nje ya utaratibu wa Chama kuteua watu wa kabila lake kwa kuwapa nafasi za upendeleo kwa mfano Katibu mkuu Kuwa mkwilima wake Msemaji wa Chama kuwa mchaga mwenyekiti wa Chama kuwa mchaga mtunza hazina wa. chama kuwa mke wake Naibu katibu mkuu bara kuwa mchaga mwenyekiti Bawacha kuwa Mchaga mwenyekiti Bavicha mkaskazini
 
Udikteta wa Mbowe unaendelea kuthibitishwa na yafuatayo kung'ng'ania Madaraka, kuua kufokea na kutisha wapinzani wake kulazimisha kanuni zilizo nje ya utaratibu wa Chama kuteua watu wa kabila lake kwa kuwapa nafasi za upendeleo kwa mfano Katibu mkuu Kuwa mkwilima wake Msemaji wa Chama kuwa mchaga mwenyekiti wa Chama kuwa mchaga mtunza hazina wa. chama kuwa mke wake Naibu katibu mkuu bara kuwa mchaga mwenyekiti Bawacha kuwa Mchaga mwenyekiti Bavicha mkaskazini
Invisible huu uzi hauna afya itoeni
 
Propaganda za kis*nge sana hii aloo!
 
Mkuu wanasema siasa ni kubishana kwa hoja kwa kutumia sayansi ya siasa lakini hebu angalia neno ulilosema ambalo nimepigia mstari? Unaweza kusaidia jeshi letu kupata uhalisia ??
Nchi hii ni yetu zote tusaidiane pale panapohitajika msaada lakini kama huwezi kuthuibitisha basi mada yako iondolewe kabisa kwenye hili jukwaa
 
Viongozi wa vyama vyote vya siasa wana huo utaratibu wa ‘carrot on the stick’ sijui ni kwa sababu ya hali ngumu ya maisha kiasi kwamba unapoteuliwa kugombea na kushinda wanaona kama wamekufanyia favour fulani ya kutoka kwenye umaskini kiasi kwamba wanahaki ya kunyanyasa.

Hata Polepole na Bashiru wamekuwa wakinyanyasa watu sana na kauli zao za vitisho “tutakukata” inataka moyo wa uvumilivu kweli kuwa mwanasiasa, maana mabosi wenyewe ni very abusive ppl.
 
Mheshiwa Paschal Mayala sote tunajua kuwa yeyote aliyeutaka umwenyekiti wa Mbowe alikutana na changamoto kwa mfano Chacha Wangwe walimuua kwa kumtegeshea na dereva wake akatoka hana hata kovu, Zito kabwe et al anajua masaibubaiyokutana nayo, Tundu Lisu alitaka kuhatarisha nafasi yake anajua alichokutana nacho, Sumayi Waziri mkuu mstaaafu ameongea maneno mazito "SUMU HAIONJWI KWA MDOMO"
Hizi propaganda zako zilifeli miaka mingi sana ,u are the first to say so and u won't be last.
 
Kumzungumzia Mbowe nafikiri tutumie neno arrogant. The dude is arrogant.
 
Back
Top Bottom