Yule Mzee aliharibu maisha ya Mabinti wengi Ila yangu aliyaharibu na kuyatengeneza mwenyewe

Yule Mzee aliharibu maisha ya Mabinti wengi Ila yangu aliyaharibu na kuyatengeneza mwenyewe

Nyege za Kubanduliwa zinakusumbua?
Aah hizi sio sifa za talented fela....... Na mie sikuchek thread nzima nikajua sifa za hapo tu labda ndo wewe ila am sore blaza wa butiama
_20230507_075632.JPG
 
Maisha ni kama maji ukiziba huku yanapita huku. Story ya dada cleopatra ina mafunzo mengi, kuna muda unapitia magumu sana kiasi cha kuona kama duniani umekuja kuteseka tuu.

Lakini kamwe Mungu wetu ni mkuu hawezi kumuacha mja wake aibike milele.

Nipo najiuliza hivi kama dada Cleo asingepitia haya mazito leo angekua huyu wa kujaza passport kwa umri huo mdogo aliokuwa nao? miaka 26 passport imejaa mie nina 31 hata passport sina😂😂😂 nikisafiri sana nimeenda hapo NAIROBI na likaratasi la Emergency travel document.

Story hii ina mafunzo mengi mno, tusikate tamaa haijalishi unapitia nini kwenye maisha mengine yanakuja kukufunza na kukujenga.

Cleo asingenyanyaswa kingono sidhani hata shauku ya kumiliki pesa nyingi ili alipize kisasi angekuwa nayo.

Imagine, baba angemtunza kila hitaji angepata kwa wakati, mama angefanikiwa huko South sijui Kenya alipoenda akamrudia mwanae na akaishi kama yai la kuku wa kizungu sidhani kama angekuwa Cleo huyu wa leo.

Napenda sana kusoma kisa cha YUSUPH kwenye biblia " Yusuph alinyanyaswa na kuuzwa utumwani tena na nduguze, cha kustajabisha huko utumwani nako akasingizia na mke wa bosi amembaka akatupwa jela, jela akakutana na watafsiri wa ndoto ambao mojawapo baadae alim-recomend kwa mfalme na ndio ukawa mwanzo wa Yusuph kuwa waziri mkuu"


Maisha yana mengi, mazuri,mabaya na ya kawaida muda wote tuamini katika njia zetu tunazopitia njia za Mungu ni za kushangaza.

Natamani siku moja nikutane na Cleo nipige nae story kuna mengi ya kujifunza kutoka kwake.
TUISHI!
 
Unataka nikununulie bia😀 umesema Shida ni JF kupoa

Angalia usifeli chuo unashinda JF mda wote we Genta 😊
Naona umelewa morning yote mimi nataka dada yako bia nikikusanya kwenye chupa za walevi 100 sikosi bia moja

Kufeli ni maisha tu
 
Mzee Kipipa aliendeleza ufirauni wake hatimae aliondoka kuiona familia yake Dar hakurudi kwa muda mrefu,

Mama wa Kambo alipata ugonjwa wa kupooza, mateso ya Clepatina yaliisha lakini aligeuka kua muuguzi na kuacha shule akiwa darasa la tano,

Baba yake alirejea ila hakukaa sana aliondoka sababu alianzisha familia nyingine huko alipokua,

Mzee Kipipa amerejea ila amekonda sanaaa,

Clepatina amekua binti mzuri, mrefu, umbo namba nane, chuchu konzi, ngozi laini ya kuteleza, macho malegevu, sauti ya kumtoa Nyoka pangoni,
[emoji3][emoji3]
Nipe namba zake

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom