Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue nini mkuu.Maisha ni kama maji ukiziba huku yanapita huku. Story ya dada cleopatra ina mafunzo mengi, kuna muda unapitia magumu sana kiasi cha kuona kama duniani umekuja kuteseka tuu.
Lakini kamwe Mungu wetu ni mkuu hawezi kumuacha mja wake aibike milele.
Nipo najiuliza hivi kama dada Cleo asingepitia haya mazito leo angekua huyu wa kujaza passport kwa umri huo mdogo aliokuwa nao? miaka 26 passport imejaa mie nina 31 hata passport sina😂😂😂 nikisafiri sana nimeenda hapo NAIROBI na likaratasi la Emergency travel document.
Story hii ina mafunzo mengi mno, tusikate tamaa haijalishi unapitia nini kwenye maisha mengine yanakuja kukufunza na kukujenga.
Cleo asingenyanyaswa kingono sidhani hata shauku ya kumiliki pesa nyingi ili alipize kisasi angekuwa nayo.
Imagine, baba angemtunza kila hitaji angepata kwa wakati, mama angefanikiwa huko South sijui Kenya alipoenda akamrudia mwanae na akaishi kama yai la kuku wa kizungu sidhani kama angekuwa Cleo huyu wa leo.
Napenda sana kusoma kisa cha YUSUPH kwenye biblia " Yusuph alinyanyaswa na kuuzwa utumwani tena na nduguze, cha kustajabisha huko utumwani nako akasingizia na mke wa bosi amembaka akatupwa jela, jela akakutana na watafsiri wa ndoto ambao mojawapo baadae alim-recomend kwa mfalme na ndio ukawa mwanzo wa Yusuph kuwa waziri mkuu"
Maisha yana mengi, mazuri,mabaya na ya kawaida muda wote tuamini katika njia zetu tunazopitia njia za Mungu ni za kushangaza.
Natamani siku moja nikutane na Cleo nipige nae story kuna mengi ya kujifunza kutoka kwake.
TUISHI!
Daah yaani.Watu wanaandika upuuzi sana
Mizagamuano na mapenzi vimejaa mpaka kero hata tafsida hawatumii
Wale waliokuwa wanafanya kuvutie hawaandiki tena baada ya kuvamiwa
Mada nzuri hawajibu inapelekea watu kuanzisha ujinga ili thread zisonge
Gily
Unataka dada yangu umtemee mate😬 aah wap katafute chaka jingine.Naona umelewa morning yote mimi nataka dada yako bia nikikusanya kwenye chupa za walevi 100 sikosi bia moja
Kufeli ni maisha tu
Naona unamsimanga Johnnie Walker 🤣🤣🤣Watu wanaandika upuuzi sana
Mizagamuano na mapenzi vimejaa mpaka kero hata tafsida hawatumii
Wale waliokuwa wanafanya kuvutie hawaandiki tena baada ya kuvamiwa
Mada nzuri hawajibu inapelekea watu kuanzisha ujinga ili thread zisonge
Gily
Ndio hazina wachangiaji inabidi tujilipue lkn vjn wamezidi
Mkuu mimi mstaarabu lbda anifundishe yeyeUnataka dada yangu umtemee mate😬 aah wap katafute chaka jingine.
Mwambie ujumbe wake nimeusikia
Nitag kwenye mada zako za maana🤣🤣🤣Mkuu mimi mstaarabu lbda anifundishe yeye
Eti John huyu binadamu mtakatif ana mada ya maana?Mwambie ujumbe wake nimeusikia
Kuna mda nimepost humu hujazaliwaNitag kwenye mada zako za maana🤣🤣🤣
Eti John huyu binadamu mtakatif ana mada ya maana?
Wabongo wanapigwa hela kwenye hii issue so nimejisikia tu kuwashtua labda ntasaidia sent mbil tatu za wapendwa zisitapeliwe na wajanja
Mzee Kipipa aliendeleza ufirauni wake hatimae aliondoka kuiona familia yake Dar hakurudi kwa muda mrefu,
Mama wa Kambo alipata ugonjwa wa kupooza, mateso ya Clepatina yaliisha lakini aligeuka kua muuguzi na kuacha shule akiwa darasa la tano,
Baba yake alirejea ila hakukaa sana aliondoka sababu alianzisha familia nyingine huko alipokua,
Mzee Kipipa amerejea ila amekonda sanaaa,
Clepatina amekua binti mzuri, mrefu, umbo namba nane, chuchu konzi, ngozi laini ya kuteleza, macho malegevu, sauti ya kumtoa Nyoka pangoni,
[emoji3][emoji3]