Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
- Thread starter
-
- #21
Hiyo definition ya nani? Sasa ina maana mtu akiwa na bilioni za shilingi kwanini asiitwe bilionea? Aitwa nani sasa? Kwanini lazima iwe dola? Kwanini sisi tunaishi marekani?definition ya billionare ni kumiliki kuanzia 1 billion dollar na kuendelea huyu bado ni millionare...
Huwa unawaambia akina nani hizo ishu za ma dom wa kaskazin?Nimeskiliza interview yake aisee, jamaa kweli alikuwa ni tajiri tu hata asingepata ile pesa juzi.
Ana Ngombe 2000 ukipiga bei ya wastani wa Ngómbe mmoja ya sh. laki 400,000 = unapata kama wastani shilingi 800,000,000
Halafu ana mbuzi 700 ukipiga mara bei ya 150,000 kwa mbuzi mmoja = unapata kama 100,000,000
Ndo mana tukiwaambia kaskazini kuna ma Don muwe mnaelewa.
Halfu mzee wa watu kavaa simple, rubega ya 15000 tu huku superstaa wa bongo fleva anakomaa kuvaa Luis Vutton halafu mfukoni hana hata mia. Daaa haya maisha haya
Amekua white washed huyo msamehe bure tu.Hiyo definition ya nani? Sasa ina maana mtu akiwa na bilioni za shilingi kwanini asiitwe bilionea? Aitwa nani sasa? Kwanini lazima iwe dola? Kwanini sisi tunaishi marekani?
Ila jamaa mda wote huo ana hustle, hao ngombe ndo alikuwa anawatumia kama working capital ya kuendeshea mgodiWamasai wengi ni madon asili yao tu ndio inawafanya wasionekane kuwa wana uwezo mkubwa ila ng’ombe wanazomiliki ni utajiri mkubwa sana.
Wa 5 miongoni mwao wewe ukiwemo.Na wewe una ng'ombe wangap?
Nantombe bana.... una mambo wewe Nantombe!Nimeskiliza interview yake aisee, jamaa kweli alikuwa ni tajiri tu hata asingepata ile pesa juzi.
Ana Ngombe 2000 ukipiga bei ya wastani wa Ngómbe mmoja ya sh. laki 400,000 = unapata kama wastani shilingi 800,000,000
Halafu ana mbuzi 700 ukipiga mara bei ya 150,000 kwa mbuzi mmoja = unapata kama 100,000,000
Ndo mana tukiwaambia kaskazini kuna ma Don muwe mnaelewa.
Halfu mzee wa watu kavaa simple, rubega ya 15000 tu huku superstaa wa bongo fleva anakomaa kuvaa Luis Vutton halafu mfukoni hana hata mia. Daaa haya maisha haya
Itakuwa huzijui kwakweli.. kwani jiografia una ngapi vile?Arusha na Manyara zipo kaskazini ya wapi au mimi sizijui pande kuu za nchi?
Bora umjibu tu mkuuWa 5 miongoni mwao wewe ukiwemo.
Ila jamaa mda wote huo ana hustle, hao ngombe ndo alikuwa anawatumia kama working capital ya kuendeshea mgodi
Hahahahaaa.. usijali mkuu.. tu enjoy tu maisha sasaNantombe bana.... una mambo wewe Nantombe!
inavotakiwa hivo, yaaani jamaa hana formal education lakini ana maarifa sana.. kweli kusoma sio guarantee ya kuelimikaNdio kujiongeza huko mkuu sio unakuwa na mtaji unauchunga tu wekeza uzalishe pesa zaidi, kuna wamasai hapo arusha wana hela ndefu sana hasa hao wa mawe.
Sasa kaskazini ni wapi mkuu kama sio Arusha na Kilimanjaro? ... Mbona unataka kunichanganya?Nilipataga F embu niambie kwa kutumia pande kuu nne yani Mashariki ambako ni Dar, Magharibi Kigoma, Kusini Mtwara Kaskazini ni Arusha au Manyara kweli?
.
au ka F kananisumbua 😝😝
Na ndo
inavotakiwa hivo, yaaani jamaa hana formal education lakini ana maarifa sana.. kweli kusoma sio guarantee ya kuelimika
Mbuzi wa 150,000/= hapana mimi mwezi uliopita nimechinja mbuzi kumshukuru Mungu nimesunguka duniani nimerudi zero ila mbuzi nilinunua 70 na walikuwa watatu so I gave 200k acha over estimation.Nimeskiliza interview yake aisee, jamaa kweli alikuwa ni tajiri tu hata asingepata ile pesa juzi.
Ana Ngombe 2000 ukipiga bei ya wastani wa Ngómbe mmoja ya sh. laki 400,000 = unapata kama wastani shilingi 800,000,000
Halafu ana mbuzi 700 ukipiga mara bei ya 150,000 kwa mbuzi mmoja = unapata kama 100,000,000
Ndo mana tukiwaambia kaskazini kuna ma Don muwe mnaelewa.
Halfu mzee wa watu kavaa simple, rubega ya 15000 tu huku superstaa wa bongo fleva anakomaa kuvaa Luis Vutton halafu mfukoni hana hata mia. Daaa haya maisha haya
Nani kasema mambo ya manyara? ... au umekasirika Laizer kuwa bilionea? Umekasirika banaArusha na Manyara zipo kaskazini ya wapi au mimi sizijui pande kuu za nchi?
Absolutely..Na kusoma sio kutajirika
Arusha na Manyara sio Kaskazini na hakuwezi kuwa kaskazini Sir ila unaweza kupaita kaskazini mashariki!
.
Kama Arusha ni Kaskazini, Mwanza patakuwa wapi?
Naked truth.Shida vijana tunaishi life la mashindano na kuangalia mwenzako ana nini, so unakuta hapo wengi hawana subira wanataka matokeo ya harak.. Ndo mana unakuta vijana wengi wametekwa na hizi scheme za get rich quickly kama kubet na mambo ya forever living sijui nini
Acha ubishi embu angalia hiyo ramani vizuriMererani ni Manyara Sir.
Vile ana hela na wake zake wamasai huwa hawasumbui, wamasai kuwa na wake had Saba kawaidaIla jamaaa lazima awe na akili, ana wake wanne na watoto 30, kwa hali ya kawaida ukishakuwa na team kama hiyo lazima akili uiweke sawa vinginevyo unachezea za ugoko