Yule mzee Laizer alikuwa bilionaire hata kabla aisee

Lakini anatembelea landcruser
 
Arusha na Manyara sio Kaskazini na hakuwezi kuwa kaskazini Sir ila unaweza kupaita kaskazini mashariki!
.
Kama Arusha ni Kaskazini, Mwanza patakuwa wapi?
Kumbe wanaobishana na Google waga Wapo kweli.
 
Kuwa na ng'ombe 2000 ambao hawaleti tija yoyote,ni upuuzi tu ndio maana wanatuletea mmomonyoko wa ardhi na migogoro na wakulima
Wamasai wanatakiwa wafuge kisasa
Wewe unatija kwa Taifa?
 
Mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Tanga.
Mwanza ni mkoa wa Magharibi
Arusha na Manyara sio Kaskazini na hakuwezi kuwa kaskazini Sir ila unaweza kupaita kaskazini mashariki!
.
Kama Arusha ni Kaskazini, Mwanza patakuwa wapi?
 
Mwanza kaskazini magharibi mwa nchi, though huku watu wamezoea kaskazini kuwa Kilimanjaro, Arusha and Manyara, kumbe kaskazini inaenda had mikoa ya Kanda ya ziwa
Daah bilionaire laizer amesababisha yote haya,mpk kando ya ziwa ni kaskazini leo hii 🤣🤣🤣
 
Daah bilionaire laizer amesababisha yote haya,mpk kando ya ziwa ni kaskazini leo hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ndo hujue kule Kanda ya ziwa ni North West ya Tanzania. Soma vizuri ramani
 
Hivi mnagombania ukanda au Mamilioni ya Eyoooo Laizeeeeer
 
Kumbe wanaobishana na Google waga Wapo kweli.
Google ni search engine tu, haya mataarifa ya Eti Mara ipo Magharibi ukiya-google lazima itokee JF.
ahahahahahahahahahaha
.
Yani watu ambao hawajajiunga na JF wenye akili timamu wakiona kuna mtu anasema Mara ni magharibi sijui wanacheka kwa kiasi gani
 


Wewe hujui bei ya wanyama pamoja na mangi mwenzio

Bei ya ng'ombe wa kawaida na ni wazuri kwa kula bei inaanzia 300 mpaka 500, hawa ndio wazuri kwa kula. Na ukitaka yale makubwa kabisa yaliyokomaa bei inaanzia 600 to 800.

Sasa huyo mangi wenu kutoka machame kwa wauza gongo kapigia ng'ombe wote bei moja wakati kuna vindama pia, na bei ya ndama almost 150 to 200.


Ukija kwa wakina mbuzi, mbuzi mkubwa kabisa anaanzia 70 mpaka laki. Wa wastani bei 25 to 60. Vitoto 15 to 20. Labda angetuambia waliohasiwa na niwakubwa sana kwa 150 hapo sawa.
 
Nani kakudanganya?
Hao unaowaona hawaishi kwenye nyumba bora ndio wanaofanya kazi yakuchunga hao ng'ombe
Nenda huko monduli uone jinsi walivo sikuhizi tu ndo wameanza kujenga nyumba za block kidogo
 
...Nadhani Kagera itakuwa NorthWest Mkuu. Na hiyo Musoma inaweza ikawa North East.
Kumbuka Kabla ya jina Kagera ilikuwa ikitambulika ka 'Ziwa Magharbi'..!
Ahahahaha uwiii so if Arusha is North and Kagera is northeast where could Musoma be located?
 
definition ya billionare ni kumiliki kuanzia 1 billion dollar na kuendelea huyu bado ni millionare...
Huyu unaemuongelea ni bilionea kwa hisani ya watu wa Marekani. Kwa hapa kwetu na pesa za madafu huyu bwana tayari ni bilionea. Acha donge, sio kila kitu wamarekani wahusike.
 
Inategemea unauzia wapi?
Hapa Dar mbuzi tunanunua mpaka 200,000
 
Huyu unaemuongelea ni bilionea kwa hisani ya watu wa Marekani. Kwa hapa kwetu na pesa za madafu huyu bwana tayari ni bilionea. Acha donge, sio kila kitu wamarekani wahusike.
Kama ndo hivyo Basi Zimbabwe nchi nzima ni Mabilionea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…