Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

Kazi zao inawezekana hatuzifahamu ndio maana unajiuliza hayo madocument ya nini but trust me yanakazi
 
Yuko vizuri
 
Either ni UNDERCOVER ai ni ISALAMA, huwezi kuzoeana na askari kirahisi rahisi tu, kwenye movie za kikorea ma UNDERCOVER au ma DETECTIVE huwa wana kitengo chao ambacho kinajitegemea wala hakifungamani na POLISI lakini kuna wakati huwa wanafanya kazi pamoja

Ndio maana kakutwa na majibu ya Fingerprint pamoja na interogation kit, sasa kama ni tapeli unataka kuniambia hivyo vitu vya nini??

Kwenye movie ikitokea pilisi na ma detectives wamekutana kwenye mission moja bila kujuana na detectives wakakamatwa huwa wakifika hawakai wanaachiwa
 
Wewe inaonekana hata Movie huangaliagi

TISS na POLICE ni idara mbili tofauti kimuundo, kimajukumu na kisheria, POLICE wana oparesheni zao na TISS wanaoparesheni zao....
Naona umedandia tren kwa mbele hakuna sehemu nimeandika polisi au tiss zaid yakusema vilaza hawataisha.

Kingine naona session zinakuchanga mpaka unshindwa kuelewa kuwa Ile n movie ikimaanisha walijipanga wakuteke wewe uwe shabiki yao Ila KWENYE uhalisia huwez kufanya hvyo.

Akiwa n mtumishi wa kule hawez kufikia hatua ya namna hyo mpaka mapicha unless wanataka kupata uhalisia wa polisi na matendo yao Ila ukumbuke polisi bara ndio wanalaumiwa sio wa zenji hvyo jamaa huenda n to kweli rejea stori za wazenji KWENYE huu Uzi wanaosisitiza kumfahamu mtuhumiwa
 
We hujawahi ona Au wasikia matapeli wakijifanya T, traffic, polisi, jeiwii
Wakiwa na vitendea kazi vyote

Huyo alikuwa anawatimbilisha watu na kuwatoa hela akijifanya Ts,

Ova
 
Kwenye picha mbona kasimama na kuweka mikono kiupole hivyo? Watakuwa wanamsingizia tu.
Unaelewa tabia ya hizo pingu mkuu?
Ukileta uzwazwa utakatika mikono, hazina mwisho wa kukaza, lazima tu mtu astaarabike akisha taimiwa kufungwa nazo hizo!
 
Jamaa anaonekana kama Tai kweli vile. Usikute ni ex-eagle aliyechomeshwa na eagles wenzake. Rejea kisa cha Lt. Urio na wanafunzi wake wa Ngerengere.
Ni kipepeo mzuri tu hyo bwana,na anafanya issue kibao tu za gvmnt na system inamtambua vizuri MNO.
Hapo Ni kwamba kayatimba kwa namna nyingine kwa WAZEE wameamua kumkalia kooni na mwamba kawadindia mpka kufikia hatua ya kumfanyia upekuzi,
Kuna mawili;
Moja yawezekana ikawa Ni MOVIE LEO tunachezeshwa (Bastola haijahusishwa)
ili vitu vingine viendelee, au Kajichanganya akiwa kwenye mission isiyokuwa inataka kuwahusisha WAZEE.
Plus field kumchosha(kuzoeleka).
Sidhani km Kuna mtanzania ataweza ku invest muda wa kufuatilia na kuwa na such evidence alizokutwa nazo.
Hyo Ni Tai,a.k.a kipepeo,mkuda, snitch, eagle,mning'inio,tandu,buibui,nguruwe mweusi,Twiga cement [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…