Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ya Cyprian MusibaAiseee na kaunda suti yake
Inaonekana We ndo Umemchoma MtaalamWadau wa zenjiView attachment 2149998
Kazi zao inawezekana hatuzifahamu ndio maana unajiuliza hayo madocument ya nini but trust me yanakaziHahahahaha movie na reality ni tofauti kabisa ingawa mengi wanatoa kwenye uhalisia ila mengi ni mambo ambayo hayawezekani in a real life
Sasa huyu mwamba vitu vyote hivyo iwe mission kivipi yaani mpaka vitu vya Rais mstaafu vya nini
Hebu angalia orodha hiyo number plates zote hizo Ina maana kila mission anabadili namba ama
Hata kama ni mkuu wa TISS hawezi kuwa ana namba zote hizo hata awe na mission za 007 hajafika huko
Yuko vizuriYunus Nassoro Alli, 32yrs, Mshirazi wa Kilimahewa ambaye anatuhumiwa kujifanya mtumishi wa serikali "TISS".
Anadaiwa kukamatwa na kupatikana na vitu vifuatavyo;
1) Plate number nyekundu 112
2) Plate number za njano 27
3) Plate number nyekundu 12
4) Plate number za nje ya nchi 2
5) Plate number ya vespa 1 nyeupe
6) Dola 200 fake za kimarekani
7) Kadi za magari 2 ya ofisi ya raisi
8) Kitambulisho kimoja cha jeshi la wananchi -un
9) Leseni moja ya uderera ya uingereza
10) Leseni za udereva za zanzibar 82
11) Kitambulisho cha mwanafunzi wa michigan
12) State house visitor card (01)
13) Picha pasport size 5 za bakharesa
14) Kadi 4 za bank tembo na umoja na baclays
15) Fataki moja
16) Mhuri mmoja wa gsy solution co
17) Vitambulisho vya mzanzibar 4
18) Spark torture moja mbovu
19) Fimbo ya cheo ya jeshi la JKU 1
20) Vitambulisho 2 vya mpiga kura
21) Kisu cha kukatia vioo kimoja
22) Earphone inayotumiwa kwenye handset kwa mawasiliano ya tiss
23) Leseni 4 za udereva Tanzania bara
24) Magamba ya magari/kadi 607
25) Flash (03)
26) Pasport za kusafiria 2 za Tanzania
27) Picha za pasport size za watu tofauti 632
28) Barua toka kmkm SMZ
29) Barua toka Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania
30) Nakala na pasport na vitambulisho vya raia wa kigeni 09
31) Stemps za zrb 13
32) Vitabu vya risiti 09
33) Form za mikataba ya makabidhiano ya shamba na mauziano ya magari na kukopesha fedha
34) Barua kutoka zaeka 1
35) Hati za makosa za ZRB 09
36) Risiti za bodi ya mapato zanzibar 45
37) Barua kutoka kamishna wa bodi ya mapato revenue 37
38) Form za maombi za visa
39) Kadi ya gari ya ali moh'd shein rais mstaafu wa zanzibar
40) Form ya maombi ya visa
41) Form za maombi ya vibati vya namba na rfid stika 03
42) Form za maombi ya leaner 05
Aidha mtuhumiwa alikuwa na gari no. Z.584 LC na lilipopekuliwa vitu vifuatavyo vimepatikana kwenye gari hilo.
1) Ufunguo wa pingu -01
2) Form ya bodi ya mapato zanzibar 01
3) Barua za toka ofisi ya dci, finger print result kumhusu Jafar Mahbub Juma
4) Document za kupasisha magari mbali mbali
5) Certificate of registration gsy
View attachment 2148941
Either ni UNDERCOVER ai ni ISALAMA, huwezi kuzoeana na askari kirahisi rahisi tu, kwenye movie za kikorea ma UNDERCOVER au ma DETECTIVE huwa wana kitengo chao ambacho kinajitegemea wala hakifungamani na POLISI lakini kuna wakati huwa wanafanya kazi pamojaWadau wa zenjiView attachment 2149998
Katinga na suti kama zao! Kwani Sabaya siyo Tiss? Kwanini ile kesi ya kitambulisho, Dpp aliichomoa na kisha tunuku ya u Dc ikafuata?Kama Sabaya huyo, mbona kama Tiss kweli!
Naona umedandia tren kwa mbele hakuna sehemu nimeandika polisi au tiss zaid yakusema vilaza hawataisha.Wewe inaonekana hata Movie huangaliagi
TISS na POLICE ni idara mbili tofauti kimuundo, kimajukumu na kisheria, POLICE wana oparesheni zao na TISS wanaoparesheni zao....
We hujawahi ona Au wasikia matapeli wakijifanya T, traffic, polisi, jeiwiiEither ni UNDERCOVER ai ni ISALAMA, huwezi kuzoeana na askari kirahisi rahisi tu, kwenye movie za kikorea ma UNDERCOVER au ma DETECTIVE huwa wana kitengo chao ambacho kinajitegemea wala hakifungamani na POLISI lakini kuna wakati huwa wanafanya kazi pamoja
Ndio maana kakutwa na majibu ya Fingerprint pamoja na interogation kit, sasa kama ni tapeli unataka kuniambia hivyo vitu vya nini??
Kwenye movie ikitokea pilisi na ma detectives wamekutana kwenye mission moja bila kujuana na detectives wakakamatwa huwa wakifika hawakai wanaachiwa
Unaelewa tabia ya hizo pingu mkuu?Kwenye picha mbona kasimama na kuweka mikono kiupole hivyo? Watakuwa wanamsingizia tu.
Ni kipepeo mzuri tu hyo bwana,na anafanya issue kibao tu za gvmnt na system inamtambua vizuri MNO.Jamaa anaonekana kama Tai kweli vile. Usikute ni ex-eagle aliyechomeshwa na eagles wenzake. Rejea kisa cha Lt. Urio na wanafunzi wake wa Ngerengere.
Unaelewa tabia ya hizo pingu mkuu?
Ukileta uzwazwa utakatika mikono, hazina mwisho wa kukaza, lazima tu mtu astaarabike akisha taimiwa kufungwa nazo hizo!