Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

Huyu jamaa amenizidi miaka michache tu ila naamini ameshika pesa na kakutana na watu mbalimbali kunizidi.

Uthubutu is key.
 
Hahaha, huyu jamaa ananikumbisha movie ya Catch me if you can
 
Anaonekana genius sana kuzidi hata yule aliyemtolea bastora Nape
Wamuajiri tu moja kwa moja
 
Ukitaka kujua kuwa utapeli hautaisha, Soma huu Uzi wote ndo utajua kuna watu vilaza Sasa kaunda suti si Ni vazi la kawaida tena siku hizi kuna mpaka vile vinembo vya taifa machinga wanauza inshu ya kuwa na vitambulisho vingi inaonesha kuna watu humu hawapambani kiubishi (nida, leseni, kura, signature, muhuri wowote ule) vyote vinapatikana katikati ya mji wa mkoa unapokaa.

Sema huyo jamaa anaonekana anajua kujiposition sio Kama matapeli wengine pesa ya dhuluma kidogo tuu mtumbo huo mpaka ukimkamata unamuonea huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…