Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Aiseee
Timu ya mtu mmoja au mtandao?
Jamaa ni legend
Apewe kazi ya maana huyu ni genius
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee
Timu ya mtu mmoja au mtandao?
Jamaa ni legend
Kazi iendeleeYUNUS NASSORO ALLI 32YRS, MSHIRAZI WA KILIMA HEWA AMBAYE ANATUHUMIWA KUJIFANYA MTUMISHI WA SERIKALI "TISS". AMEKAMATWA NA KUPATIKANA NA VITU VIFUATAVYO...
Nilizijua kwa uwezo wa roho mtakatifu.Alikusimulia hizo mishe
Anaonekana genius sana kuzidi hata yule aliyemtolea bastora NapeYunus nassoro alli 32yrs, mshirazi wa kilima hewa ambaye anatuhumiwa kujifanya mtumishi wa serikali "Tiss".
Anadaiwa kukamatwa na kupatikana na vitu vifuatavyo;
1) Plate number nyekundu 112
2)Plate number za njano 27
3)plate number nyekundu 12
4)Plate number za nje ya nchi 2
5)Plate number ya vespa 1 nyeupe
6) Dola 200 fake za kimarekani
7) Kadi za magari 2 ya ofisi ya raisi
8) Kitambulisho kimoja cha jeshi la wananchi -un
9) Leseni moja ya uderera ya uingereza
10) Leseni za udereva za zanzibar 82
11) Kitambulisho cha mwanafunzi wa michigan
12) State house visitor card (01)
13) Picha pasport size 5 za bakharesa
14) Kadi 4 za bank tembo na umoja na baclays
15) Fataki moja
16) Mhuri mmoja wa gsy solution co
17) Vitambulisho vya mzanzibar 4
18) Spark torture moja mbovu
19) Fimbo ya cheo ya jeshi la JKU 1
20) Vitambulisho 2 vya mpiga kura
21) Kisu cha kukatia vioo kimoja
22) Earphone inayotumiwa kwenye handset kwa mawasiliano ya tiss
23) Leseni 4 za udereva tanzania bara
24) Magamba ya magari/kadi 607
25) Flash (03)
26) Pasport za kusafiria 2 za Tanzania
27) Picha za pasport size za watu tofauti 632
28) Barua toka kmkm SMZ
29) Barua toka Jeshi la ulinzi wa Wananchi tTnzania
30) Nakala na pasport na vitambulisho vya raia wa kigeni 09
31) Stemps za zrb 13
32) Vitabu vya risiti 09
33) Form za mikataba ya makabidhiano ya shamba na mauziano ya magari na kukopesha fedha
34) Barua kutoka zaeka 1
35) Hati za makosa za ZRB 09
36) Risiti za bodi ya mapato zanzibar 45
37) Barua kutoka kamishna wa bodi ya mapato revenue 37
38) Form za maombi za visa
39) Kadi ya gari ya ali moh'd shein rais mstaafu wa zanzibar
40) Form ya maombi ya visa
41) Form za maombi ya vibati vya namba na rfid stika 03
42) Form za maombi ya leaner 05
Aidha mtuhumiwa alikuwa na gari no.Z.584 lc na lilipopekuliwa vitu vifuatavyo vimepatikana kwenye gari hilo.
1) Ufunguo wa pingu -01
2) Form ya bodi ya mapato zanzibar 01
3) Barua za toka ofisi ya dci, finger print result kumhusu jafar mahbub juma
4) Document za kupasisha magari mbali mbali
5) Certificate of registration gsy
View attachment 2148941
Hayo madubwasha huyapati kizembe, jibu jepesi kabisaUsikute ni mwenyewe ila kaingia mkenge. Na hatatoa jibu kama ndiye. Ila kesi itaishia hewa. Tusikilize wenye watu wao watasemaje japo hawatakubali.
Wanaenda kumtahiri kwa kisu cha mbao tena bila ganzi nakwambia[emoji1787]Apewe kazi ya maana huyu ni genius
Ni tai huyu, sema tu kuna namna imekwenda ndivyo sivyoHivyo alivyokamatwa navyo,
Wewe inakuchukua miaka mingapi? Kuvikusanya kinyemela.
Tai akikosea huwa hawekwi kwenye cage bali anapitiwa na unyakuo mawinguni.Ni tai huyu, sema tu kuna namna imekwenda ndivyo sivyo