Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Nakubaliana nawe.. sawa, wao ndio wanajua sema kesi kama hizi kusikia mwisho wake huwa nadra sanaTai akikosea huwa hawekwi kwenye cage bali anapitiwa na unyakuo mawinguni.
Huyu jamaa ni mhalifu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana nawe.. sawa, wao ndio wanajua sema kesi kama hizi kusikia mwisho wake huwa nadra sanaTai akikosea huwa hawekwi kwenye cage bali anapitiwa na unyakuo mawinguni.
Huyu jamaa ni mhalifu
It is fact one..Tai akikosea huwa hawekwi kwenye cage bali anapitiwa na unyakuo mawinguni.
Huyu jamaa ni mhalifu
Nakazia hapo!!Kwenye picha mbona kasimama na kuweka mikono kiupole hivyo? Watakuwa wanamsingizia tu.
Kadi ya gari ya Shein kaipataje?Yunus nassoro alli 32yrs, mshirazi wa kilima hewa ambaye anatuhumiwa kujifanya mtumishi wa serikali "Tiss".
Anadaiwa kukamatwa na kupatikana na vitu vifuatavyo;
1) Plate number nyekundu 112
2)Plate number za njano 27
3)plate number nyekundu 12
4)Plate number za nje ya nchi 2
5)Plate number ya vespa 1 nyeupe
6) Dola 200 fake za kimarekani
7) Kadi za magari 2 ya ofisi ya raisi
8) Kitambulisho kimoja cha jeshi la wananchi -un
9) Leseni moja ya uderera ya uingereza
10) Leseni za udereva za zanzibar 82
11) Kitambulisho cha mwanafunzi wa michigan
12) State house visitor card (01)
13) Picha pasport size 5 za bakharesa
14) Kadi 4 za bank tembo na umoja na baclays
15) Fataki moja
16) Mhuri mmoja wa gsy solution co
17) Vitambulisho vya mzanzibar 4
18) Spark torture moja mbovu
19) Fimbo ya cheo ya jeshi la JKU 1
20) Vitambulisho 2 vya mpiga kura
21) Kisu cha kukatia vioo kimoja
22) Earphone inayotumiwa kwenye handset kwa mawasiliano ya tiss
23) Leseni 4 za udereva tanzania bara
24) Magamba ya magari/kadi 607
25) Flash (03)
26) Pasport za kusafiria 2 za Tanzania
27) Picha za pasport size za watu tofauti 632
28) Barua toka kmkm SMZ
29) Barua toka Jeshi la ulinzi wa Wananchi tTnzania
30) Nakala na pasport na vitambulisho vya raia wa kigeni 09
31) Stemps za zrb 13
32) Vitabu vya risiti 09
33) Form za mikataba ya makabidhiano ya shamba na mauziano ya magari na kukopesha fedha
34) Barua kutoka zaeka 1
35) Hati za makosa za ZRB 09
36) Risiti za bodi ya mapato zanzibar 45
37) Barua kutoka kamishna wa bodi ya mapato revenue 37
38) Form za maombi za visa
39) Kadi ya gari ya ali moh'd shein rais mstaafu wa zanzibar
40) Form ya maombi ya visa
41) Form za maombi ya vibati vya namba na rfid stika 03
42) Form za maombi ya leaner 05
Aidha mtuhumiwa alikuwa na gari no.Z.584 lc na lilipopekuliwa vitu vifuatavyo vimepatikana kwenye gari hilo.
1) Ufunguo wa pingu -01
2) Form ya bodi ya mapato zanzibar 01
3) Barua za toka ofisi ya dci, finger print result kumhusu jafar mahbub juma
4) Document za kupasisha magari mbali mbali
5) Certificate of registration gsy
View attachment 2148941
Kwani mtumishi wa idara hiyo anaruhusiwa kumiliki hivyo vitu?Mtu anamiliki vitu vyote hivyo alafu taarifa inasema anajifanya?
Hapana huyu itakuwa kweli ni mtumishi wa idara hiyo! Kabisa
Waliyomkamata ndiyo wamekutumia hii picha au wewe ni miongoni mwa mliyomkamata?Yunus nassoro alli 32yrs, mshirazi wa kilima hewa ambaye anatuhumiwa kujifanya mtumishi wa serikali "Tiss".
Anadaiwa kukamatwa na kupatikana na vitu vifuatavyo;
1) Plate number nyekundu 112
2)Plate number za njano 27
3)plate number nyekundu 12
4)Plate number za nje ya nchi 2
5)Plate number ya vespa 1 nyeupe
6) Dola 200 fake za kimarekani
7) Kadi za magari 2 ya ofisi ya raisi
8) Kitambulisho kimoja cha jeshi la wananchi -un
9) Leseni moja ya uderera ya uingereza
10) Leseni za udereva za zanzibar 82
11) Kitambulisho cha mwanafunzi wa michigan
12) State house visitor card (01)
13) Picha pasport size 5 za bakharesa
14) Kadi 4 za bank tembo na umoja na baclays
15) Fataki moja
16) Mhuri mmoja wa gsy solution co
17) Vitambulisho vya mzanzibar 4
18) Spark torture moja mbovu
19) Fimbo ya cheo ya jeshi la JKU 1
20) Vitambulisho 2 vya mpiga kura
21) Kisu cha kukatia vioo kimoja
22) Earphone inayotumiwa kwenye handset kwa mawasiliano ya tiss
23) Leseni 4 za udereva tanzania bara
24) Magamba ya magari/kadi 607
25) Flash (03)
26) Pasport za kusafiria 2 za Tanzania
27) Picha za pasport size za watu tofauti 632
28) Barua toka kmkm SMZ
29) Barua toka Jeshi la ulinzi wa Wananchi tTnzania
30) Nakala na pasport na vitambulisho vya raia wa kigeni 09
31) Stemps za zrb 13
32) Vitabu vya risiti 09
33) Form za mikataba ya makabidhiano ya shamba na mauziano ya magari na kukopesha fedha
34) Barua kutoka zaeka 1
35) Hati za makosa za ZRB 09
36) Risiti za bodi ya mapato zanzibar 45
37) Barua kutoka kamishna wa bodi ya mapato revenue 37
38) Form za maombi za visa
39) Kadi ya gari ya ali moh'd shein rais mstaafu wa zanzibar
40) Form ya maombi ya visa
41) Form za maombi ya vibati vya namba na rfid stika 03
42) Form za maombi ya leaner 05
Aidha mtuhumiwa alikuwa na gari no.Z.584 lc na lilipopekuliwa vitu vifuatavyo vimepatikana kwenye gari hilo.
1) Ufunguo wa pingu -01
2) Form ya bodi ya mapato zanzibar 01
3) Barua za toka ofisi ya dci, finger print result kumhusu jafar mahbub juma
4) Document za kupasisha magari mbali mbali
5) Certificate of registration gsy
View attachment 2148941
Mbona kavaa mashati ya usalama
Wewe inaonekana hata Movie huangaliagiUkitaka kujua kuwa utapeli hautaisha, Soma huu Uzi wote ndo utajua kuna watu vilaza Sasa kaunda suti si Ni vazi la kawaida tena siku hizi kuna mpaka vile vinembo vya taifa machinga wanauza inshu ya kuwa na vitambulisho vingi inaonesha kuna watu humu hawapambani kiubishi (nida, leseni, kura, signature, muhuri wowote ule) vyote vinapatikana katikati ya mji wa mkoa unapokaa.
Sema huyo jamaa anaonekana anajua kujiposition sio Kama matapeli wengine pesa ya dhuluma kidogo tuu mtumbo huo mpaka ukimkamata unamuonea huruma
Wanaenda kumtahiri kwa kisu cha mbao tena bila ganzi nakwambia[emoji1787]
Is not professional kama wadau wengi wanavyodhani. Why keeping too much unnecessary necessary stuffsHuyu itakuwa kachokwa tu.yaani kadi ya gari ya rais anakaa nayo ya nini?.
Majibu ya alama za vidole kwake yeye vya kazi gani?
+ bajeti ya kuvikusanyaHivyo alivyokamatwa navyo,
Wewe inakuchukua miaka mingapi? Kuvikusanya kinyemela.
na ndomaana hata kwenye iyo picha jamaa karilax kabisa yupo komfotable hana wasiwasi kabisa, anajua tu hapo wanajisumbua hawana pa kumpeleka wala cha kumfanya.Wewe inaonekana hata Movie huangaliagi
TISS na POLICE ni idara mbili tofauti kimuundo, kimajukumu na kisheria, POLICE wana oparesheni zao na TISS wanaoparesheni zao
Mara nyingi watu wa TISS wakiwa kwenye oparesheni huwa hawajulikani na wanafanya kimya kimya na huwa hawataki kabisa police ijue maana ikijua wao wanaweza kubanwa na sheria
Mtu kama huyo huenda alikuwa kwenye mission ila kakamatwa na police usishangae kumkuta anadunda mtaani
Hii ni experience yangu niliyoitoa kwenye movie za kikorea
Wewe inaonekana hata Movie huangaliagi

Huyo jamaa ni TISS kweli. Huwezi kuwa na documents zote hizo kwa kufoji au kufanya matukio. Huyo ni mwenzao ila namna alivyonasa ndio hawajaeleza na itaishia juu juu aachiwe
HahahaMkuu,pale Samora Dsm,unapata hadi muhuri wa Ikulu! Pia unapata hadi signature ya mkazi wa pale jumba jeupe