Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

na hayo mashati ya usalama amekutwa nayo mangapi? nataka kujua kama ni kosa kisheria maana mim ninayo 9
 
Delusional disorders

Hasa kwa watu wenye schizophrenia ni jambo la kawaida sana
 
hahahahaha umenichekesha sana, umenikumbusha vijana wa Kiromania pale Bucharest au Sofia Bulgaria.....Nigerians hapo bado chekechea sana..
Unamkumbuka mwamba Tito wa Yugoslavia ambaye hata Stalin na ubabe wake alimshindwa mkuu?
 
Back
Top Bottom