Yupi bora, mwanaume anayeacha pesa au anayenunua mahitaji yote mwenyewe?

Kutoka kwangu mpaka dukani kuna umbali wa 1.5 Km wife hajui kudrive, mwanzo wa mwezi inabidi niende kununua vitu vya jumla vya mwezi mzima!

Kila Jumamosi naenda gulioni namnunulia vitu vya wiki nzima kutokana hivyo hata nikimuachia hela hawezi kudrive kwenda sokoni! Je nakosea!??
 
Unamnunulia kulingana na anavyotaka au unampangia cha kununua
 
Ukipata mwanamke mwenye financial discpline hamna shida. Kuna wengine unamwambia piga budget ya mwezi,anapiga unampa. Hata nusu mwezi bado anakwambia hela ya chakula imeisha,ukifuatilia vzr ametumia kwa mambo ya kipuuzi. Kuna baadhi ya wanawake ukishawapa hela wanapata uchizi,mpaka iishe ndio wanakaa sawa.
 
Hahahah atabadilisha nywele na kucha kila week mwishowe inafika tarehe 23 hela imekata haijamaliza mwezi kumbe ame misuse 😁😁😁
 
Habari za saizi wakuu,

Poleni kwa majukumu ya kila siku moja kwa moja niende kwenye point.

Kati ya hawa ni yupi mzuri zaidi, mwanaume anaeacha pesa ya matumizi nyumbani na mwanamke ndio anaepanga matumizi au mwanaume anaenunua kila kitu cha ndani na kama kuna matumizi ya ziada yakubidi uombe pesa kwa kutolea maelezo.

Majibu sahihi anayo mwanamke kwa swali lako kama unavyotaka wajibu.

Mimi kama mimi ni bora kununua vitu na kuviweka ndani maana uzuri umewazidi nguvu wanawake na kupelekea baadhi ni bora akanunue carolight kuliko unga wa kula na watoto.
 
Kutoka kwangu mpaka dukani kuna umbali wa 1.5 Km wife hajui kudrive, mwanzo wa mwezi inabidi niende kununua vitu vya jumla vya mwezi mzima!

Kila Jumamosi naenda gulioni namnunulia vitu vya wiki nzima kutokana hivyo hata nikimuachia hela hawezi kudrive kwenda sokoni! Je nakosea!??
Mfundishe ku drive

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom