Ukwelinasema
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 454
- 542
- Thread starter
- #61
Mko wachache sana wenye hii tabia wenzio sikuizi wanataka wabane kila sehemuMimi ninachofanya naenda sokoni nanunua mchele unga na kila kitu cha ndani kiwemo kisha naacha na pesa ya kununua chipsi pale anapotamani au vitu vidogo vidogo hivi.
Lakini sitokuja kukaa n pesa ya matumizi ya ndani hata siku moja,pesa inayohusu mambo ya kula namuachia wife.
Nikikaa nazo mara natumia