Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Mimi ninapenda UHURU, sioni sababu ya kumfanya mkeo kama mtoto asiye na akili.Na hivi ndivyo inavyotakiwa
Kila siku akwambie hujaacha pesa ya chakula Wakati siyo emergency hiyo, kula lazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ninapenda UHURU, sioni sababu ya kumfanya mkeo kama mtoto asiye na akili.Na hivi ndivyo inavyotakiwa
[emoji3][emoji3]Yaani eti mwanamke unakaa huna hata mia mbovu.
Kuna baadhi ya mapochopocho mwanaume hawezi nunua yote kama jinsi unavyotaka.
Vitu vikiisha anaanza kukununia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ena,ndagha fijo
Huyu analalamika bure tu huwezi acha pesa ya nyama ukalishwa maharageEew maana pesa mnatoa ndogo bora mnunue wenyewe mjue beii zilivyo
Inapendeza piaAu tufanye bora anayefanya vyote kwa pamoja
SafiMwanaume anayeacha pesa nyumbani na kuacha nafasi ya matumizi kupangwa na mke ndiye mwanaume bora kabisa kwa matumizi ya nyumbani mwanamke ana phd yake tangu eden
utwamasiku.Yaani eti mwanamke unakaa huna hata mia mbovu.
Kuna baadhi ya mapochopocho mwanaume hawezi nunua yote kama jinsi unavyotaka.
Vitu vikiisha anaanza kukununia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ena,ndagha fijo
Si lazima uumpe yote hiyo kwa wakati mmoja unaweza pia ukaacha hata buku mbili tu kwaajili ya vitu vidogo vidogo sio mkeo hata pilipili akuombe elaBora kufanya nyote nunua vitu vichache vinavyogharimu zaidi kama mchele unga samaki sukari mafuta pia mpe pesa ata laki au laki na nusu kila week kama kipato kinaruhusu atanunua vitu vidogo vidogo na kuumpa uhuru wa kununua anachotaka
dawa yao Ni waikute michemsho tu mezaniYaani eti mwanamke unakaa huna hata mia mbovu.
Kuna baadhi ya mapochopocho mwanaume hawezi nunua yote kama jinsi unavyotaka.
Vitu vikiisha anaanza kukununia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ena,ndagha fijo
Kabisa yaani[emoji122]Mimi ninapenda UHURU, sioni sababu ya kumfanya mkeo kama mtoto asiye na akili.
Kila siku akwambie hujaacha pesa ya chakula Wakati siyo emergency hiyo, kula lazima.
Umeona eeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dawa yao Ni waikute michemsho tu mezani
Watanunaje hukawii kuambiwa hujui kupikadawa yao Ni waikute michemsho tu mezani
Mara tangawizi haipo unaanza kuomba hela.Si lazima uumpe yote hiyo kwa wakati mmoja unaweza pia ukaacha hata buku mbili tu kwaajili ya vitu vidogo vidogo sio mkeo hata pilipili akuombe ela
Tununu nkamu[emoji4][emoji4][emoji177]utwamasiku.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eew maana pesa mnatoa ndogo bora mnunue wenyewe mjue beii zilivyo
Hawawezi ila basi tu kujifanya muchknowMara tangawizi haipo unaanza kuomba hela.
Limao limekosekana hela haipo
Sidhani kama mwanaume ataweza nunua mapochopocho yooote tunayoyataka.
Mfano mimi siwezi kutofautisha Limao na Ndimu, spinach na Chinese, 🤣Mara tangawizi haipo unaanza kuomba hela.
Limao limekosekana hela haipo
Sidhani kama mwanaume ataweza nunua mapochopocho yooote tunayoyataka.
Mkuu kiasi cha pesa ya kuacha nyumbani hakina kiwango au mfumo maalum kwani inategemea kipato na standard ya maisha na investment mindset.Pia inategemea kama ni kipato cha siku au wiki au mweziSi lazima uumpe yote hiyo kwa wakati mmoja unaweza pia ukaacha hata buku mbili tu kwaajili ya vitu vidogo vidogo sio mkeo hata pilipili akuombe ela
Well saidMkuu kiasi cha pesa ya kuacha nyumbani hakina kiwango au mfumo maalum kwani inategemea kipato na standard ya maisha na investment mindset.Pia inategemea kama ni kipato cha siku au wiki au mwezi
Kuna familia matumizi yanaweza kuwa 30,000 kwa siku wengine 10000 kwa siku wengine chini ya 10000.
Hoja yangu mimi ni kufanya fifty fifty ili kupunguza changamoto za kila approach maana kuna wanawake ata umuachia kiasi gani hawazi kudhibiti budget au anapeleka pesa yote kwenye mambo yake mnaishia kula dagaa ila pia si vema mke kutokuwa na pesa kila kitu akuombe wewe ni muhimu umuachie kiasi fulani anunue anachotaka au ata kama ana kipate unampa tuu kwa sababu za mila zetu kiafrica ili mume umentain nafasi yako kama mume