Yupi bora, mwanaume anayeacha pesa au anayenunua mahitaji yote mwenyewe?

Mwanaume anayeacha pesa nyumbani na kuacha nafasi ya matumizi kupangwa na mke ndiye mwanaume bora kabisa kwa matumizi ya nyumbani mwanamke ana phd yake tangu eden
 
Yaani eti mwanamke unakaa huna hata mia mbovu.
Kuna baadhi ya mapochopocho mwanaume hawezi nunua yote kama jinsi unavyotaka.

Vitu vikiisha anaanza kukununia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ena,ndagha fijo
[emoji3][emoji3]
 
Bora kufanya nyote nunua vitu vichache vinavyogharimu zaidi kama mchele unga samaki sukari mafuta pia mpe pesa ata laki au laki na nusu kila week kama kipato kinaruhusu atanunua vitu vidogo vidogo na kuumpa uhuru wa kununua anachotaka
 
utwamasiku.
 
Si lazima uumpe yote hiyo kwa wakati mmoja unaweza pia ukaacha hata buku mbili tu kwaajili ya vitu vidogo vidogo sio mkeo hata pilipili akuombe ela
 
Mimi ninapenda UHURU, sioni sababu ya kumfanya mkeo kama mtoto asiye na akili.

Kila siku akwambie hujaacha pesa ya chakula Wakati siyo emergency hiyo, kula lazima.
Kabisa yaani[emoji122]
Mwanaume inatakiwa uwaze maendeleo .
Kazi za jikoni unamwachia mkeo anadeal nazo..wewe ukirudi ni kula tu na mkeo huku mkienjoy ndoa yenu [emoji4]

Nyie ndio wanaume tunaowataka[emoji4]

billdrago ukirudi usome hapa
 
dawa yao Ni waikute michemsho tu mezani
Umeona eeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza ile eti akuletee yeye kila kitu jamani hataweza..kuna vitu lazima vimiss tu!halafu itafika muda atachoka maana itakuwa kama kero.

Mwanaume anipe uhuru ninunue na sitamuangusha kamwe akirudi anakuta mambo ni moto..yeye ale tu[emoji39].
 
Si lazima uumpe yote hiyo kwa wakati mmoja unaweza pia ukaacha hata buku mbili tu kwaajili ya vitu vidogo vidogo sio mkeo hata pilipili akuombe ela
Mara tangawizi haipo unaanza kuomba hela.
Limao limekosekana hela haipo

Sidhani kama mwanaume ataweza nunua mapochopocho yooote tunayoyataka.
 
Si lazima uumpe yote hiyo kwa wakati mmoja unaweza pia ukaacha hata buku mbili tu kwaajili ya vitu vidogo vidogo sio mkeo hata pilipili akuombe ela
Mkuu kiasi cha pesa ya kuacha nyumbani hakina kiwango au mfumo maalum kwani inategemea kipato na standard ya maisha na investment mindset.Pia inategemea kama ni kipato cha siku au wiki au mwezi

Kuna familia matumizi yanaweza kuwa 30,000 kwa siku wengine 10000 kwa siku wengine chini ya 10000.

Hoja yangu mimi ni kufanya fifty fifty ili kupunguza changamoto za kila approach maana kuna wanawake ata umuachia kiasi gani hawazi kudhibiti budget au anapeleka pesa yote kwenye mambo yake mnaishia kula dagaa ila pia si vema mke kutokuwa na pesa kila kitu akuombe wewe ni muhimu umuachie kiasi fulani anunue anachotaka au ata kama ana kipate unampa tuu kwa sababu za mila zetu kiafrica ili mume umentain nafasi yako kama mume
 
Well said
 
Back
Top Bottom