Yupi bora, mwanaume anayeacha pesa au anayenunua mahitaji yote mwenyewe?

Yupi bora, mwanaume anayeacha pesa au anayenunua mahitaji yote mwenyewe?

Mimi siachi wala sinunui chochote mke wangu Ana ajira yake, lakini nimemfungulia biashara ambayo ni kubwa namaanisha ni kubwa na huwa namwekea pesa kwenye acc yake ya kutosha tu. Vitu vingine vikubwa vyote nafanya Mimi. Namaanisha kujenga, kabadilisha gari, kuongeza kipato nk na ki ukweli sijui matumizi yangu nyumbani ni kiasi gani kwa mwezi Ila nachojua mke wangu ndiyo mkubwa kwao na wadogo zake anawasomesha vizuri tu.
 
Hela natoa mkuu. Maana sipendi kujipa stress kwa vitu vidogo vidogo.

Mkeo anakwambia "Kiberiti kimeisha mbele ya mgeni wako" .....

Halafu na wewe, unaanza kujibizana naye "Kiberiti nimenunua juzi tu, mnatumiaje viberiti hapa ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka kwa nguvu kama naiona hiyo familia ya kuombana ela mpk mbele ya mgeni jmn aibu
 
Hela natoa mkuu. Maana sipendi kujipa stress kwa vitu vidogo vidogo.

Mkeo anakwambia "Kiberiti kimeisha mbele ya mgeni wako" .....

Halafu na wewe, unaanza kujibizana naye "Kiberiti nimenunua juzi tu, mnatumiaje viberiti hapa ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]
Au anakwambia mafuta yameisha.
Unaanza sema mbona juzi tu nilinunua[emoji23][emoji23]
 
Nanunua vyakula vyote vya msingi na kuacha pesa ya matumizi vilevile!, hua kunakuaga na emergencies, mfano mgeni kaja na soda zimeisha hvo inabidi kumfatia kwa mangi au mchuuzi kapitisha mboga flani adimu n.k, ni muhimu kununua chakula na kuacha pesa usifanye kimoja ukaacha kingine! kuna madhara!.
 
Hela natoa mkuu. Maana sipendi kujipa stress kwa vitu vidogo vidogo.

Mkeo anakwambia "Kiberiti kimeisha mbele ya mgeni wako" .....

Halafu na wewe, unaanza kujibizana naye "Kiberiti nimenunua juzi tu, mnatumiaje viberiti hapa ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]
Au anakwambia mafuta yameisha.
Unaanza sema mbona juzi tu nilinunua[emoji23][emoji23]mbona mnamwagamwaga hovyo mafuta[emoji1787]
 
Vyakula vya kununua ni gunia la Unga, gunia la mchele, mqfuta ya kula ndoo, mtungi wa gas, na vitu vikubwa kubwa ila sijui mboga ni vitu vidogo vidogo Acha tu 20k hapo inatosha
 
Back
Top Bottom