Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Nipatie bajeti, sokoni Utaenda na binti wa kazi, au nitakusindikiza nikiwa na muda.Habari za saizi wakuu,
Poleni kwa majukumu ya kila siku moja kwa moja niende kwenye point.
Kati ya hawa ni yupi mzuri zaidi, mwanaume anaeacha pesa ya matumizi nyumbani na mwanamke ndio anaepanga matumizi au mwanaume anaenunua kila kitu cha ndani na kama kuna matumizi ya ziada yakubidi uombe pesa kwa kutolea maelezo.
Lkn hela ya jikoni nikishakupa ndo nimekupa usinirudie na wala usinilishe vibaya; nitakwenda kula Buza
Dharura zinajulikana na zinazungumzika