Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 602
- 969
Hapana, unaweka vitu muhimu halafu vile vya kawaida ndo unamuachia apange bajeti mwenyewe. Mfano ndani unaweza kuwa na nyama, samaki, dagaa, maharage lakini ukampa pesa ili akanunue mchichaHuoni kama unamnyima uhuru mkeo.
HongeraNaandaa rasimu ya nyumba yangu pindi nitakapovuta jiko nitakuwa na katiba mahsusi hapo [emoji4][emoji4]
Unamnunulia kulingana na anavyotaka au unampangia cha kununuaKutoka kwangu mpaka dukani kuna umbali wa 1.5 Km wife hajui kudrive, mwanzo wa mwezi inabidi niende kununua vitu vya jumla vya mwezi mzima!
Kila Jumamosi naenda gulioni namnunulia vitu vya wiki nzima kutokana hivyo hata nikimuachia hela hawezi kudrive kwenda sokoni! Je nakosea!??
Mpe uhuru mama watotoNaona wenye kuacha pesa wameshinda nami siku nikioa nitakua naacha pesa anunue mwenyewe.
Ha ha ha hii itapendeza zaidiWanataka anaeacha pesa kisha anarudi na Mahitaji yote.. Mzee
Anatumwa mtoto ili aje kukukera vizuri, bora kununua vutu full package ndani!Kuna wenzako wanapenda mambo haya,baba tunaomba ela ya mboga mara nazi imeisha[emoji28][emoji28]
Hahahah atabadilisha nywele na kucha kila week mwishowe inafika tarehe 23 hela imekata haijamaliza mwezi kumbe ame misuse πππUkipata mwanamke mwenye financial discpline hamna shida. Kuna wengine unamwambia piga budget ya mwezi,anapiga unampa. Hata nusu mwezi bado anakwambia hela ya chakula imeisha,ukifuatilia vzr ametumia kwa mambo ya kipuuzi. Kuna baadhi ya wanawake ukishawapa hela wanapata uchizi,mpaka iishe ndio wanakaa sawa.
Habari za saizi wakuu,
Poleni kwa majukumu ya kila siku moja kwa moja niende kwenye point.
Kati ya hawa ni yupi mzuri zaidi, mwanaume anaeacha pesa ya matumizi nyumbani na mwanamke ndio anaepanga matumizi au mwanaume anaenunua kila kitu cha ndani na kama kuna matumizi ya ziada yakubidi uombe pesa kwa kutolea maelezo.
Mfundishe ku driveKutoka kwangu mpaka dukani kuna umbali wa 1.5 Km wife hajui kudrive, mwanzo wa mwezi inabidi niende kununua vitu vya jumla vya mwezi mzima!
Kila Jumamosi naenda gulioni namnunulia vitu vya wiki nzima kutokana hivyo hata nikimuachia hela hawezi kudrive kwenda sokoni! Je nakosea!??
Wanataka anaeacha pesa kisha anarudi na Mahitaji yote.. Mzee