Yupi mkali kati ya Chidi Benz na Daz Baba?

Yupi mkali kati ya Chidi Benz na Daz Baba?

Burrell

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
474
Reaction score
893
wakuu naomba maoni yenu hapa, nani ni mkali wa kuimba kati ya Chidi Benz na Daz Baba? Yupi ana hit records nyingi sana? kwa jinsi unavyoona.
 
Chidbenz ni mkali sana wa miaka hiyo na zaidi miaka ya 2009, 2010 na 2011 ni msanii aliyepata Kolabo kuliko msanii yoyote...

Hao watu unaowataja ni Generation tofauti Daz baba AKA Daz mwalimu ni mkongwe kidogo na ana heshima zake kwenye Bongo fleva ila huwezi kumlinganisha na Mfalme wa ilala
 
Chidbenz ni mkali sana wa miaka hiyo mwaka 2009 na 2010 ni msanii aliyepata Kolabo kuliko msanii yoyote...

Hao watu unaowataja ni Generation tofauti Daz baba AKA Daz mwalimu ni mkongwe kidogo na ana heshima zake kwenye Bongo fleva ila huwezi kumlinganisha na Mfalme wa ilala
Thanks mkuu nimependa maelezo yako. It is likely kama Chidi bado anasafiri na generation ya sasa ya kina Marioo.
 
It seems like you know nothing about music,Daz Baba ni muimbaji na Chid Benz ni Rapper so, hawa watu wawili wanafanya music tofauti huwezi kuwapambanisha!
Ila Chidi Benz anaweza kuimba pia, kuna wimbo aliimba na Mzee Yusuf, Mashallah
 
Thanks mkuu nimependa maelezo yako. It is likely kama Chidi bado anasafiri na generation ya sasa ya kina Marioo.
Hapana, chidBenz huwez kumlinganisha na Mario wala mtu yoyote wa kizazi hichi..

Hii Ni sawa na kusema Baba yako kwa kuwa yuko Hai Bhasi analingana na Wewe!

Hii ndo ilimfanya Noorah (Shytown King) kuacha Mziki mara baada ya Ngwair Kufariki
 
Huo mstari wa mwisho umeandika uongo
 
Unapambanisha Nyama na maharage? Au bia na soda? Yani Chid na Daz hawaendani kuanzia aina ya Muziki mpaka Generation sasa unawalinganisha kwa lipi labda?
 
wakuu naomba maoni yenu hapa, nani ni mkali wa kuimba kati ya Chidi Benz na Daz Baba? Yupi ana hit records nyingi sana? kwa jinsi unavyoona.
Genre tofauti, Generation tofauti, sijui unalinganisha nn, au size ya balls?
 
Kila Jambo Lina Zama Zake Mkuu
Ni Sawa Useme Sodoma, Gomora Na Dar Es Salaam Ni Mji Gani Unaongoza Kwa Uovu
 
Back
Top Bottom