Yupo wapi Cyprian Musiba?

Yupo wapi Cyprian Musiba?

Musiba huyu hapa wakuu yupo bado akili zake ni zile zile
Sasa mzee, tangu umetungwa tumboni kwa mama yako ulikuwa unalalamika, lawana ziko kwenye vina saba vyako #mgiriki Jr VI, hujawahi acha kulalamika hata kwenye threads zako, huna threads hata moja inayoleta suluhisho ni lawana tu na maswali labda na threads za kupastiwa, sasa endelea kumuunga mkono huyo mwana mama aliyejawa na nyongo, mzandiki na chuki binafsi ili na wewe tukusajili huko BAWACHA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] woe to you poor Greece, for u have fallen and u will never stand stay out my way dear buddy
 
Tiss ni wahuni wameona Hana ishu tena ndiyo maana wamempiga chini...
 
Kisa chako cha Zanzibar michenzani kinahuzunisha, kumbe wewe ndo yule kikojozi executive [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]SH3NZ! TAIPU amka ukafanye kazi sio kutwa kuota ndoto za kuhongwa na kuokota hela[emoji41]
 
Lakini mbona bado yupo na harakati zake, juzi nimemsikia katika Youtube akihojiwa na mwandishi wake (Tanzanite journalist) kuhusu Corona iliyompata Maalim Seif, akisema kwamba Maalim hakuwa/hana Corona bali kajidai kuwa anayo Corona----, na akadai kuwa baadaye atatoa taarifa hiyo kwa kina.
Yeye ni daktari wa Maalim?
 
Mtu mweusi Kama anufaiki aimbi kwaya.Check kina tumuongezee muda wote Hawa wamechukua mikopo mikubwa Zaid ya miaka 5 hofu yao akiingia mwingine wataishije watailipaje?
Umemuona Kessy nkamia wanaimba kwaya tena? Hawawezi sababu mshipi wa kaptula umekatika.Mtu mweusi atazami Jamii utazama tumbo.
 
Back
Top Bottom