Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?

Mapinduzi ya kijeshi huwa ni UNAJISI katika nchi.....
 
Exquisite exquisite exquisite [emoji2956][emoji7]
 
Yupo Gado
 
Hii kitu mbona kama mpya hivi!!!!
 
Usipolidhibiti Jeshi....kwa nchi zetu za kiafrika basi ujue kila uchao ni mapinduzi tu ......

Hayati JKN anabaki kuwa kiongozi bora kuliko wote Afrika....

Siempre El Commandante JKN,amen[emoji120]
 
Kwani Edward Mondlane na Samora Machel walipouawa, Msumbiji (au FRELIMO) kulitokea ombwe la uongozi?
Ombe baada ya kifo Cha Mondlane? Ndio na kulitokea vita ya miaka mingi sana almost 15 years vita ilipelekea vifo Million 1....
Mindi you Mondlane hakupinduliwa yalikua mauaji tu, ila case ya Nyerere angepinduliwa well and good kiti angekalia nani JWTZ? TANU? Upinzani kina Kambona? Hayo ndio yangetuletea vita ya miaka nenda rudi.

Tuweke tume huru Rais aingie kwa haki ila mambo ya kupinduana sio ya kushabikia
 
Niliona mtandao u tubu nafikiri sikumbuki vizuri, aliyekuwa dereva wa Kenyatta Jomo ambaye na mwanaye Uhuru wote walikuwa marais kwa vipindi tofauti. Hiyo nyumba anayo ishi na hayo maisha, ngachoka kabsa! Lazima na,nachekea kusema hayo ni masharti ya kimaagano kuwa asisaidike.
 
Hii kitu mbona kama mpya hivi!!!!
Hatukuwepo....

Ila yameandikwa vitabuni na magazetini....

Nilipokuwa shule ya msingi nilikuwa najisomea nakala ya gazeti la RAI kila wiki....nikapata kuwajua akina LUTENI LUGAKINGIRA ,EUGENE MAGANGA ,UNCLE TOM ,TAMIMU ,HATTY MC GHEE na wengineo.....

Tupende kujisomea....

Maarifa hupatikana humo....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Awesome [emoji2956]

#Mapinduzi Ya Kijeshi Ni Unajisi katika nchi[emoji120]
 
Amani ipo...

Amani ni KUBWA nchi hii....

Hivi kuna nchi Afrika yenye amani na ubora kama yetu ?!!!

Sema kweli
sio amani ni uoga.. mfano mtu anaimba mnatuona nyani anakamatwa sasa amani iko wapi ?? kutoa maoni na dukuduku ni haki ya raia.
 
sio amani ni uoga.. mfano mtu anaimba mnatuona nyani anakamatwa sasa amani iko wapi ?? kutoa maoni na dukuduku ni haki ya raia.
Kwani uoga si maumbile ya mwanadamu ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Una kiu...ninakupa glass 1 ya maji...ukishamaliza unanitukana kuwa ulistahili nikupatie GALLON zima [emoji1787]

Yule dada SIFA aliimba uchochezi.... mathalani ".... Ngorongoro ndugu zetu ,wameondolewa kwa nguvu.....mnatuona manyani..."

Si kweli alichokisema....wako jamii ya wafugaji iliyoelewa na kuhamia HANDENI MSOMERA.....waliobaki wanapigania kisichopo(false flag)...
 
Madreva tax wengi enzi hizo walikua wale jamaa zetu wa siri
 

Khalafu utakuta anayeota mapinduzi analikitambi hata kutembea mita 500 hawezi. Angalie huko Kongo mkimbizi anakimbia na kutembea mamia ya km na akiwa mbuzi na safuria mgongoni. Acha kabisa hayo mambo. Na Mungu apishie mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…