Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Amani wakati mnalalamika Umeme... Rushwa... bandari... elimu... bima... nssf... bodiLakini pia tusingekuwa na amani hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amani wakati mnalalamika Umeme... Rushwa... bandari... elimu... bima... nssf... bodiLakini pia tusingekuwa na amani hii.
Amani ipo...Kuna amani au tunavumiliana tu? Kilichopo nchini kinaitwA tabu bila chuki
Mapinduzi ya kijeshi huwa ni UNAJISI katika nchi.....Mapinduzi yakitokea Kila mtu anataka kuwahi fursa ndio maana JPM alivyofariki wakatamani wachukue kiti ila hawakuweza sababu katiba ndio ilikua inafuatwa ila yangekua mapinduzi ungesikia Bashiru kajitangaza Rais, mara Mabeyo naye kapindua, ghafla Samia naye anaunda jeshi la waasi inakua vurugu tupu.
So mapinduzi sio ya kushabikia hata kama tulimchoka Nyerere hali ingekua mbaya zaidi maana madaraka yangebaki bado CCM ila Kwa Wezi zaidi.
Exquisite exquisite exquisite [emoji2956][emoji7]Mkuu hii ndio principle kwenye intelligence kwamba haondolewi mtu mpaka ijulikane ombwe litazibwa na nani?
Uganda walimtoa Amin wakapita Marais kama 10, Same to Burundi waliompindua Rwagasore wakapita Marais kibao hapo kati nao ikawa mchezo kupinduana. Na hii ni case kwa nchi nyingi tu stability ilipotea baada ya mapinduzi.
So hapa sipingi serikali kubadilika ila sio kwa mapinduzi maana ombwe linabaki wazi so inakua gombania goli
Yupo GadoHistoria ya serikali ya nchi hii ina Mengi na Mengi hayo hatuyajui.
Kina Hanspope, Maganga, Tamimu na wengine wengi walipanga kumuua na kuipundua serikali ya Mwl Nyerere.
Inadaiwa dereva teksi aliyekuwa akiwasafarisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya Siri alibaini mpango wao na kuripoti kwa vyombo vya usalama.
Muda umeenda Sasa, huyu dereva teksi ni nani? Yupo wapi Sasa? Alilipwa nini na serikali Kama shukurani ya kuinusuru nchi?
duhUna aman wewe uliyeshiba
Hii kitu mbona kama mpya hivi!!!!Historia ya serikali ya nchi hii ina Mengi na Mengi hayo hatuyajui.
Kina Hanspope, Maganga, Tamimu na wengine wengi walipanga kumuua na kuipundua serikali ya Mwl Nyerere.
Inadaiwa dereva teksi aliyekuwa akiwasafarisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya Siri alibaini mpango wao na kuripoti kwa vyombo vya usalama.
Muda umeenda Sasa, huyu dereva teksi ni nani? Yupo wapi Sasa? Alilipwa nini na serikali Kama shukurani ya kuinusuru nchi?
USA au France Kulikua na mapinduzi ya kijeshi kwa serikali iliyowekwa kwa kura za wananchi? InterestingKwa nini hayo hayakutokea U.S.A, China, Russia, France ?
Usipolidhibiti Jeshi....kwa nchi zetu za kiafrika basi ujue kila uchao ni mapinduzi tu ......Nadhani wanamtandao walikuja kuwatoa kimaso maso miaka ya 2005 walipoingia kivingine na kuleta maisha bora KWA watz!!!!
Adhma ya wajeda kushika chama ikafanikiwa KWA mgongo wa demokrasia!
Huwa najiuliza hawa wanamtandaor wasingeshika hatam hali ya maisha ya mtz ingekuaje aiseh coz ujamaa ulikua msoto sana kiasi chake!!!
Alihama chama, hakuhama UjasusiSasa mbona alihama chama huyu jasusi?
Ombe baada ya kifo Cha Mondlane? Ndio na kulitokea vita ya miaka mingi sana almost 15 years vita ilipelekea vifo Million 1....Kwani Edward Mondlane na Samora Machel walipouawa, Msumbiji (au FRELIMO) kulitokea ombwe la uongozi?
Hatukuwepo....Hii kitu mbona kama mpya hivi!!!!
Awesome [emoji2956]Ombe baada ya kifo Cha Mondlane? Ndio na kulitokea vita ya miaka mingi sana almost 15 years vita ilipelekea vifo Million 1....
Mindi you Mondlane hakupinduliwa yalikua mauaji tu, ila case ya Nyerere angepinduliwa well and good kiti angekalia nani JWTZ? TANU? Upinzani kina Kambona? Hayo ndio yangetuletea vita ya miaka nenda rudi.
Tuweke tume huru Rais aingie kwa haki ila mambo ya kupinduana sio ya kushabikia
sio amani ni uoga.. mfano mtu anaimba mnatuona nyani anakamatwa sasa amani iko wapi ?? kutoa maoni na dukuduku ni haki ya raia.Amani ipo...
Amani ni KUBWA nchi hii....
Hivi kuna nchi Afrika yenye amani na ubora kama yetu ?!!!
Sema kweli
Hizi ni hadithi za uongo za utotoni kama zile za "wanyonya damu"...Huyo alikuwa mtu wa usalama alifanya kazi ya teksi driver, na hata Leo bado wapo na wengine ni shoe shiners, fundi viatu mjini
Kwani uoga si maumbile ya mwanadamu ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]sio amani ni uoga.. mfano mtu anaimba mnatuona nyani anakamatwa sasa amani iko wapi ?? kutoa maoni na dukuduku ni haki ya raia.
Madreva tax wengi enzi hizo walikua wale jamaa zetu wa siriHistoria ya serikali ya nchi hii ina Mengi na Mengi hayo hatuyajui.
Kina Hanspope, Maganga, Tamimu na wengine wengi walipanga kumuua na kuipundua serikali ya Mwl Nyerere.
Inadaiwa dereva teksi aliyekuwa akiwasafarisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya Siri alibaini mpango wao na kuripoti kwa vyombo vya usalama.
Muda umeenda Sasa, huyu dereva teksi ni nani? Yupo wapi Sasa? Alilipwa nini na serikali Kama shukurani ya kuinusuru nchi?
Ombe baada ya kifo Cha Mondlane? Ndio na kulitokea vita ya miaka mingi sana almost 15 years vita ilipelekea vifo Million 1....