Mwarabu mlokole
JF-Expert Member
- Jul 8, 2023
- 231
- 386
Waliopo ni matokeo ya imani.Mkuu hii ndio principle kwenye intelligence kwamba haondolewi mtu mpaka ijulikane ombwe litazibwa na nani?
Uganda walimtoa Amin wakapita Marais kama 10, Same to Burundi waliompindua Rwagasore wakapita Marais kibao hapo kati nao ikawa mchezo kupinduana. Na hii ni case kwa nchi nyingi tu stability ilipotea baada ya mapinduzi.
So hapa sipingi serikali kubadilika ila sio kwa mapinduzi maana ombwe linabaki wazi so inakua gombania goli
Waliaminiwa ndio maana wakawepo.
Pia wanaokuja ni matokeo ya imani.
"The only thing that never change is changes."
Mabadiliko hayazuiliki iwe ni mazuri au mabaya.