Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Historia inaonyesha kuwa ukishndana na prof. Maghembe, akikushnda unapotea.
Alishindana na Maghembe 2000 kugombea ubunge wilaya ya Mwanga.
Banduka ni mkulima shupavu sana kwa sasa..
Umenikumbusha wakati akiwa Shy dah sitaki kumzungumzia alinitenda mbaya. Sitaki hata kumkumbuka
alipotwezwa na jk huyu! Jamaa ilikuwa hakum support jk huyu! Alikuwa kambi ya sumaye! Alijaribu kushawishi baadhi ya wakuu wa wilaya, kafa nao wote baada ya uchaguzi!
Kuna siku nilikutana nae pale NSSF, inaonekana alikuwa anafuatilia Pension ya kustaafu
Wanajamvi mpo,,,,
nalazimika kumkumbuka Nicodemus Banduka, kwani aliwahi kua mkuu wa mkoa wangu, SHINYANGA.
Na moja ya mambo yanayonilazim nimkumbuke Mzee Banduka ni pale alipowahi kuhutubia mkutano wa hazala katika moja ya vijiji vya wilaya ya bariadi ambayo sasa ni mkoa mpya wa Simiyu, alisema, UJIO WA VIWANDA VINGI VYA KUCHAMBUA PAMBA MKONI SHINYANGA SIO NEEMA KWA WAKULIMA WA PAMBA NI BALAA, leo nimelazimika kumkumbuka, baada ya mbuge mmoja wa chama kilichopo madarakani, ambapo jimboni kwake wanalima pamba kwa wingi kua serikali inampango wa zati kuvutia wawekezaji katika kilimo cha zao la pamba ili kusiwepo mkanganyiko wa bei wa zao hilo kila msim,
binafsi sijamuelew.
wanajamvi mpo,,,,
nalazimika kumkumbuka nicodemus banduka, kwani aliwahi kua mkuu wa mkoa wangu, shinyanga.
Na moja ya mambo yanayonilazim nimkumbuke mzee banduka ni pale alipowahi kuhutubia mkutano wa hazala katika moja ya vijiji vya wilaya ya bariadi ambayo sasa ni mkoa mpya wa simiyu, alisema, ujio wa viwanda vingi vya kuchambua pamba mkoni shinyanga sio neema kwa wakulima wa pamba ni balaa, leo nimelazimika kumkumbuka, baada ya mbuge mmoja wa chama kilichopo madarakani, ambapo jimboni kwake wanalima pamba kwa wingi kua serikali inampango wa zati kuvutia wawekezaji katika kilimo cha zao la pamba ili kusiwepo mkanganyiko wa bei wa zao hilo kila msim,
binafsi sijamuelew.
Wanajamvi mpo,,,,
nalazimika kumkumbuka Nicodemus Banduka, kwani aliwahi kua mkuu wa mkoa wangu, SHINYANGA.
Na moja ya mambo yanayonilazim nimkumbuke Mzee Banduka ni pale alipowahi kuhutubia mkutano wa hazala katika moja ya vijiji vya wilaya ya bariadi ambayo sasa ni mkoa mpya wa Simiyu, alisema, UJIO WA VIWANDA VINGI VYA KUCHAMBUA PAMBA MKONI SHINYANGA SIO NEEMA KWA WAKULIMA WA PAMBA NI BALAA, leo nimelazimika kumkumbuka, baada ya mbuge mmoja wa chama kilichopo madarakani, ambapo jimboni kwake wanalima pamba kwa wingi kua serikali inampango wa zati kuvutia wawekezaji katika kilimo cha zao la pamba ili kusiwepo mkanganyiko wa bei wa zao hilo kila msim,
binafsi sijamuelew.
Huyu alikua ni ccm mhafidhina. Magamba ni hodari wa kufuata upepo na wengi walifaulu kubadilisha kambi dakika za mwisho na kuambulia chochote kwa jk.alipotwezwa na jk huyu! Jamaa ilikuwa hakum support jk huyu! Alikuwa kambi ya sumaye! Alijaribu kushawishi baadhi ya wakuu wa wilaya, kafa nao wote baada ya uchaguzi!
Kuna siku nilikutana nae pale NSSF, inaonekana alikuwa anafuatilia Pension ya kustaafu
Umenikumbusha wakati akiwa Shy dah sitaki kumzungumzia alinitenda mbaya. Sitaki hata kumkumbuka