Wanajamvi mpo,,,,
nalazimika kumkumbuka Nicodemus Banduka, kwani aliwahi kua mkuu wa mkoa wangu, SHINYANGA.
Na moja ya mambo yanayonilazim nimkumbuke Mzee Banduka ni pale alipowahi kuhutubia mkutano wa hazala katika moja ya vijiji vya wilaya ya bariadi ambayo sasa ni mkoa mpya wa Simiyu, alisema, UJIO WA VIWANDA VINGI VYA KUCHAMBUA PAMBA MKONI SHINYANGA SIO NEEMA KWA WAKULIMA WA PAMBA NI BALAA, leo nimelazimika kumkumbuka, baada ya mbuge mmoja wa chama kilichopo madarakani, ambapo jimboni kwake wanalima pamba kwa wingi kua serikali inampango wa zati kuvutia wawekezaji katika kilimo cha zao la pamba ili kusiwepo mkanganyiko wa bei wa zao hilo kila msim,
binafsi sijamuelew.