Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nicodemus Manase Banduka Mkwizu. Kaka yao mkubwa alikuwa balozi Ambassador Mkwizu, maarufu enzi za Mwalimu. Kaka yake mwingine Martin Mkwizu alikuwa headmaster, na waliwahi kugombea cheo kimoja, kinyume kabisa na maelekezo ya wazee wa ukoo, lakini mdogo (Banduka) ndiye aliyeshinda. 'Selfish' is an insufficient word in describing him, hata nyumbani kwao hawampendi.
Leo unamsifia Banduka alokuwa fisadiJamaa hakupotezwa. Amestaafu anakula matunda ya utumishi wake. Jamaa aliona uzushi kujihusisha na utawala wa magamba!
Huyu kila alikopitia kuna mtumishi alijiua kwa ajili yake, alikuwa haelewani na JK alipoona amepitishwa akajua hana chake tena akustaafu aliachwa
Mmoja kati ya waliokuwa ma-RC wababe sana enzi zake.
Akiwa Ruvuma aliwahi kumfanyia njama mwandishi habari wa kujitegemea, Adam Mwaibabile Mwana (rip) na kumfunga jela. Hii ilikuwa ni baada ya kuyalipua sana mabomu ya RC huyu ndipo akamwekea nyara za serikali na kutuma askari kumkamata na baadaye mahakama kumfunga 4 yrs.
Hata mie sijui alipo!!
Alisha vuta kitambo,kwenye jina lake chini wameweka utambulisho wa kifo chake.Mkuu kwamba huyu member uliye mtag ameshafariki au?
Wacha mkuu! Ya kweli haya?Yupo Buigiri anajihusisha na ufugaji wa uduvi na dagaa wa maji chumvi. Amechoka mbaya kiasi kwamba pikipiki yake haina hata 'side mirrors'
Mkuu kwamba huyu member uliye mtag ameshafariki au?
Khaaaa, yule msanii.....mbona alishabanduka kitambo.Naomba kufahamishwa alipo ndugu Nikodemus Banduka kada wa CCM. Shupavu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa miaka ya nyuma ila amepotezwa ghafla.
Naomba kufahamishwa alipo ndugu Nikodemus Banduka kada wa CCM. Shupavu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa miaka ya nyuma ila amepotezwa ghafla.
Jibu kama hilo ndio wabongo wanapenda kusikia ndio mwana unachezea "like za kutosha" Kamati ya roho mbayaYupo Buigiri anajihusisha na ufugaji wa uduvi na dagaa wa maji chumvi. Amechoka mbaya kiasi kwamba pikipiki yake haina hata 'side mirrors'
Huyu kila alikopitia kuna mtumishi alijiua kwa ajili yake, alikuwa haelewani na JK alipoona amepitishwa akajua hana chake tena akustaafu aliachwa
Mmoja kati ya waliokuwa ma-RC wababe sana enzi zake.
Akiwa Ruvuma aliwahi kumfanyia njama mwandishi habari wa kujitegemea, Adam Mwaibabile Mwana (rip) na kumfunga jela. Hii ilikuwa ni baada ya kuyalipua sana mabomu ya RC huyu ndipo akamwekea nyara za serikali na kutuma askari kumkamata na baadaye mahakama kumfunga 4 yrs.
Hata mie sijui alipo!!
Huenda anasoma PhDNaomba kufahamishwa alipo ndugu Nikodemus Banduka kada wa CCM. Shupavu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa miaka ya nyuma ila amepotezwa ghafla.
SawaApumzike kwa amani
Amefia wapi!?Amefariki jana