Chum Chang
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 999
- 272
Namkumbuka kwa kisa cha huyu Nicodemus Banduka na kesi ya kupakazia ya Mwandishi wa Habari Adam Mwaibabile. Hana la maana kukumbukwa huyu ni akina Lukuvi tu.
Ilikuwa Songea na Mwana wa Mwaibabile akaionja jela
Kutamaki waandishi wakaenda kumochomoa huyu si wa kumkumbuka