Yupo wapi kada maarufu wa CCM Nicodemus Banduka?

Kuna Mkwizu mwingine kaolewa bahari beach sijui ni ndugu yao?
Nicodemus Manase Banduka Mkwizu. Kaka yao mkubwa alikuwa balozi Ambassador Mkwizu, maarufu enzi za Mwalimu. Kaka yake mwingine Martin Mkwizu alikuwa headmaster, na waliwahi kugombea cheo kimoja, kinyume kabisa na maelekezo ya wazee wa ukoo, lakini mdogo (Banduka) ndiye aliyeshinda. 'Selfish' is an insufficient word in describing him, hata nyumbani kwao hawampendi.
 
Mmoja kati ya waliokuwa ma-RC wababe sana enzi zake.

Akiwa Ruvuma aliwahi kumfanyia njama mwandishi habari wa kujitegemea, Adam Mwaibabile Mwana (rip) na kumfunga jela. Hii ilikuwa ni baada ya kuyalipua sana mabomu ya RC huyu ndipo akamwekea nyara za serikali na kutuma askari kumkamata na baadaye mahakama kumfunga 4 yrs.

Hata mie sijui alipo!!
Huyu kila alikopitia kuna mtumishi alijiua kwa ajili yake, alikuwa haelewani na JK alipoona amepitishwa akajua hana chake tena akustaafu aliachwa
 
Naomba kufahamishwa alipo ndugu Nikodemus Banduka kada wa CCM. Shupavu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa miaka ya nyuma ila amepotezwa ghafla.
Khaaaa, yule msanii.....mbona alishabanduka kitambo.
 
Yupo Buigiri anajihusisha na ufugaji wa uduvi na dagaa wa maji chumvi. Amechoka mbaya kiasi kwamba pikipiki yake haina hata 'side mirrors'
Jibu kama hilo ndio wabongo wanapenda kusikia ndio mwana unachezea "like za kutosha" Kamati ya roho mbaya
 
Mmoja kati ya waliokuwa ma-RC wababe sana enzi zake.

Akiwa Ruvuma aliwahi kumfanyia njama mwandishi habari wa kujitegemea, Adam Mwaibabile Mwana (rip) na kumfunga jela. Hii ilikuwa ni baada ya kuyalipua sana mabomu ya RC huyu ndipo akamwekea nyara za serikali na kutuma askari kumkamata na baadaye mahakama kumfunga 4 yrs.

Hata mie sijui alipo!!
Huyu kila alikopitia kuna mtumishi alijiua kwa ajili yake, alikuwa haelewani na JK alipoona amepitishwa akajua hana chake tena akustaafu aliachwa
 
Naomba kufahamishwa alipo ndugu Nikodemus Banduka kada wa CCM. Shupavu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa miaka ya nyuma ila amepotezwa ghafla.
Huenda anasoma PhD
 
Back
Top Bottom