Chum Chang
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 999
- 272
Namkumbuka kwa kisa cha huyu Nicodemus Banduka na kesi ya kupakazia ya Mwandishi wa Habari Adam Mwaibabile. Hana la maana kukumbukwa huyu ni akina Lukuvi tu.
Yupo Buigiri anajihusisha na ufugaji wa uduvi na dagaa wa maji chumvi. Amechoka mbaya kiasi kwamba pikipiki yake haina hata 'side mirrors'
yuko anaendesha kampuni zake anaishi kibaha jirani yake sumaye..
Yupo Buigiri anajihusisha na ufugaji wa uduvi na dagaa wa maji chumvi. Amechoka mbaya kiasi kwamba pikipiki yake haina hata 'side mirrors'
He is a selfish individual who ripped what he had soured.
Kifupi ni kuwa huyu kiumbe ana roho mbaya sana.Hilo la kuhusu huyu mwanadamu kuchukiwa na ndugu zake ni kweli. Mimi nafahamiana na baadhi ya ndugu zake na wanasema jamaa ni mchonganishi na mbabe na ubabe wake ni ule usio na msingi, ubabe wa kitoto. Mtu mwenyewe kafulia. Na hii ndio ilisababisha akakosa ubunge kule kwao.
Kama mpaka ndugu zake wanamchukia hiyo ni mbayaHe is a selfish individual who ripped what he had soured.
Mmmnh Banduka? Usinikumbushe huu mwamba!. Na yule mtu aitwaye Elickim Simpassa, alikuwa mbunge wa Mbozi yuko wapi? Huo mwamba uligeuza Bunge mahakama na kuwasakama waandishi ile mbaya? Yuko wapi? Nisisahau. Na yudhe Lais wa Bunge la Afilika, mama mtukuka Geludi Mongella yu wapi dhjamani, nakumbuka alipothindwa na Mathemli alikuwa anadjificha, yupo wapi? Bukerebhe au?Huyu kiumbe Nikodemu Banduka anafahamika zaidi kwa roho mbaya na ubinafsi !
...hakuna zaidi.
Hilo la kuhusu huyu mwanadamu kuchukiwa na ndugu zake ni kweli. Mimi nafahamiana na baadhi ya ndugu zake na wanasema jamaa ni mchonganishi na mbabe na ubabe wake ni ule usio na msingi, ubabe wa kitoto. Mtu mwenyewe kafulia. Na hii ndio ilisababisha akakosa ubunge kule kwao.