Banduka hastahili kukumbukwa kabisa. Huyo hakuwa mtu mzuri hata kidogo. Alikuwa na hila sana na alifanya ufisadi kila alikoenda. Anahusishwa pia na kifo cha aliyekuwa meneja mkuu wa Chama Kikuu cha Ushirika Ruvuma, Bw. Mkuwa aliyekufa kifo cha kutatanisha huku Banduka akiwa anadaiwa pesa kibao alizokopeshwa kwa mlango wa nyuma.
... Peter Kisummo, Ngombale Mwiru, Nicodemus Banduka, Lawi Sijaona, Daud Mwakawago, Rajab Kheri, Thabit Kombo Jecha........nasikia alipokuwa Pwani alijitakia ule msitu wa kupanda mnaouona mkipita pale.
KWa kuwa alikuwa adui wa waandishi wa habari, jamaa walimtundika akalazimika kuurudisha!
Unamsanifu sio!haahaa i like your English! Fantastic.
Umeanza vizuri na kuboronga mwishoni kwa kufanya personal attack!Yupo Buigiri anajihusisha na ufugaji wa uduvi na dagaa wa maji chumvi. Amechoka mbaya kiasi kwamba pikipiki yake haina hata 'side mirrors'
Anakula hela alizoiba SAMCO akiwa RC Ruvuma. Akatengeneza kifo cha meneja wa SAMCO akiwa nyumba ya kulala wageni Iringa. Huyo ndiye Banduka.Naomba kufahamishwa alipo ndugu Nikodemus Banduka kada wa CCM. Shupavu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa miaka ya nyuma ila amepotezwa ghafla.
... Peter Kisummo, Ngombale Mwiru, Nicodemus Banduka, Lawi Sijaona, Daud Mwakawago, Rajab Kheri, Thabit Kombo Jecha........
Miongoni wauaj wakuui wa RCU ruvuma cooperative union
Mmoja kati ya waliokuwa ma-RC wababe sana enzi zake.
Akiwa Ruvuma aliwahi kumfanyia njama mwandishi habari wa kujitegemea, Adam Mwaibabile Mwana (rip) na kumfunga jela. Hii ilikuwa ni baada ya kuyalipua sana mabomu ya RC huyu ndipo akamwekea nyara za serikali na kutuma askari kumkamata na baadaye mahakama kumfunga 4 yrs.
Hata mie sijui alipo!!
Abakumbukwa Kama mwiziKwa wananchi wa kawaida, mnamkumbukaje Mhe. Nicodemus Banduka? Kama kiongozi bshupavu au kamanda mahiri anayeamnini katika ukomunisto
Ongezea wafuatao:Naomba kufahamishwa alipo ndugu Nikodemus Banduka kada wa CCM. Shupavu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa miaka ya nyuma ila amepotezwa ghafla.
Alikuwa mjinga mjinga huyu jamaa.Naomba kufahamishwa alipo ndugu Nikodemus Banduka kada wa CCM. Shupavu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa miaka ya nyuma ila amepotezwa ghafla.
Uko SAHIHI aliiba sana,meneja aliitwa Mkua .Ila Kuna story kuwa hakujiua walileta maiti ya mtu mwingine hata haikushuhudiwaAbakumbukwa Kama mwizi
Aliiba chama kikuu Cha ushirika Ruvuma Hadi akasababisha aliyekuwa meneja mkuu wa hicho chama kujiua Iringa alikomfuata akiwa mkuu wa mkoa wa Iringa Baada ya kuhamishwa toka Ruvuma
Meneja lilipobuma alimfuata kuwa mzee mapesa ya watu hawakuelewana nadhani yule meneja akajiua eneo la kilimani nyumbani kwa Mchungaji alikofikia
Mwizi huyo